Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,068
Kwa mujibu wa bandiko inaonesha hatujafanya hata effort ya kupambana mahakamani. Utashindaje kama hata hujaonesha kuguswa?Hii kesi tunashindwa tu... ni mara chache sana kwa nchi kushinda kesi zinazofunguliwa huko ISDS dhidi ya nchi husika.. Tujipange kwa sasa maana track record ya mahakama ya ISDC inajulikana sana tu ... hakuna nchi kushinda bali makapumpuni...