Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Naamini waliokuwa wanatoa hizo taarifa walikuwa watu wa karibu na Magufuli sasa hawapo karibu na mama!
 
Kuna habari zinafaa kutolewa na kuna zingine unamezea ,na pia unaangalia nani anafaa habari zake ziwekwe sokoni,sasa kama unavyojua Raisi Samia, ameanza kwa mategemeo na kwa hali hio.

Usiri wake sio vizuri kuanikwa na kama haitoshi ni aibu kwa wanaume wa kweli kushindana na mwanamke, nahisi wameona wamuache apambane na CCM wenziwe ,si mnaona bungeni ni vurugu mechi tu.
 
170 Reactions
Reply
Back
Top Bottom