Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,501
- 44,612
Ni mapema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si Twitter, Instagram wala mitaaniUna maananisha yule tegemeo la chadema kule twiter hana mpya?
Mmebaki kupiga ramli tu, hamna loloteNi suala la muda tu. Wanasoma upepo.
Hivi kuna hotuba ya rais iliwahi kuvuja? Au mnajisemesha tu?
how sure are you?Kuna kitu hujakijua waliokuwa wanatoa siri ndiyo hao wanao ongoza nchi kwa sasa, meko aliwazingua na wao wakamzingua.
Rais au Mabeyo ? Sasa hivi jamaa kasimama front maana ameona Wapuuzi waliachiwa watambe
Nyumbu'sTaga's