Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,154
- 2,657
Kabisa kudadekLeo nilipokuwa uwanjani kumuaga hayati Mhe. Dk. J.P.M kuna msista alikuwa kakaa mbele yangu sasa akawa anachati na kiswaswadu chake namba kaisevu Mr. ...
Sasa Kila kitu kinachoendelea mule uwanjani yule msista anamuuliza huyo jamaa..mfano Helicopter ikawa inazunguka uwanja akamuuliza inafanya nini? yule Mr. ... anafu guka anaelezea kila kitu cha kiusalama, yule dada anamuuliza jamaa.
SASA Nikaprove huyo Mr ni usalama maana kuna sms alimtumia msista analalamika "Dah dear nimechoka ila inabidi niondoke kesho maana jina langu limetoka kwa wanaoenda kuhakikisha usalama chato"
Keep in mind huyu msista alikuwa anachati anajiona anaficha simu wakati mimi Reddington niko ngazi tatu juu yake.
Funzo: Usalama wa siku hizi watoto, hawajaiva.