Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Hatua zimeshachukuliwa, kelele za nini? Bei ya sukari tushazoea, hata yatakatokea kwenye hili tutazoea. Cha muhimu kumuomba MunguHuo ndio ukweli, wale wanaojiita wafanyabiashara wa korosho pamoja na kile chama chao ni kakikundi tu ka madalali.
Nawahakikishia madalali hawa wanaenda kuaibika soon kwani hii hatua aliyochukua Rais Magufuli inaenda kuleta tija kwa Wakulima na taifa kwa ujumla. Korosho inapelekwa sokoni moja kwa moja na mkulima mwenyewe ( via serikali) itakosaje profit margin nzuri?!
Hao madalali kwa kutikisa kibiriti walijisahau kuwa njiti zimejaa.
Kila la kheri serikali yetu!