Tanzania hatuna vifaa tiba na hatuna fedha (bajeti) ndio maana anahimiza kujifukiza, hospital hakuna madawa/vitanda/vifaa huu ndio ukweli

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Inapofikia hatua kiongozi mkuu wa nchi anahimiza kujifukiza, huku siku tatu nyuma kaomba watu waombee nchi, week mbili zilizopita akasema ni kaugonjwa kadogo, huku takiblani mwezi uliopita alihamishwa toka Dar kapelekwa Dodoma then kwake ngumbani.

Nachokijua na kukiona hapa tanzania tuna aibu katika sekta ya afya kwa sababu zifuatavyo.

1. Nchi ina bajeti hewa kwenye sekta ya afya tunaambiwa hospital na vituo vya afya vinajengwa lakini vingi ni kwa mikopo ya ndani, means wakandarasi wamekopwa hawajalipwa.

2. Nchi haina bajeti ya madawa ndio maana ilifika kipindi MSD ikagoma kutoa madawa kwa sababu deni lilikuwa kubwa hadi wanashindwa kujiendesha.

3. Nchi haina vifaa tiba katika hospitali vifaa vilivyopo ni kwa dharura sana ndio maana jana Bashungwa anazunguka kutafuta mitungi ya gesi ya oxygen inamaana hajui hata inapatikana wapi kavamia karakana ya TOL wanakojazia gesi ya oxygen.

4. Hatuna maabara zaidi ya kudanganywa na vituo vya kuchukulia sampuli tu, fikiria vipimo nchi nzima na Zanzibar mpka Dar. Tuko seriously kweli na afya za walipa kodi?

5. Madaktari na manesi hawana PPE yaani wapi wapo tu imefika hatua imebidi wajishonee hali ilivyokuwa mbaya zaidi, hadi barakoa watu wanajishonea sijajua kama vinakidhi ubora wa TBS.

6. Hatuna vitanda wala majengo kwa wagonjwa, hizo hospital tunaambiwa kila kata zingekuwepo si zingetumuka kuweka watu karantine kwa uchunguzi?
 
Huu siyo wakati wa kutafuta mchawi tuko vitani bwashee!
 
Kama unatambua hatuna vifaa tiba vya kutosha, nawe hutaki tujifukize, kumbe unatakaje? Naona kuna kitu unawashwa muda tu.
 
Back
Top Bottom