kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,289
- 12,581
Moja ya matumizi ya kemikali ya Ammonium Nitrate Ni kutengenezea mbolea za viwandani zenye Urea na Nitrate ambazo zinatumiwa na wakulima wetu nchini pia. Kemikali hii tumika kwenye maabara zetu mbalimbali hata mashuleni na vyuoni.
Ammonium Nitrate Ni explode (lipuka) Kama ikikutana na joto Kali ilipohifadhiwa
Kutokana na kilichotokea Lebanon itukumbushe na Mimi kukagua hifadhi zetu ili tujifunze kutokana na makosa ya wengine.
Wahusika nadhani mmenielewa, kwani serikali ya Lebanon imejiuzulu bila kutaka kutokana na uzembe katika kuihifadhi hii kemikali.