Tanzania has highest press freedom in East Africa- Membe

Gangi Longa

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
275
135
DAILY NEWS Reporter,
19th February 2010

TANZANIA can promote the agenda of good governance because it enjoys the highest press freedom in the East African region, Minister for Foreign Affairs and International Cooperation Mr Bernard Membe said in Dar es Salaam today.

Mr Membe said such freedom has enhanced free flow of information and promotion of good governance.

He was responding to the Swedish Ambassador, Mr Staffan Herrström, who sought clarification as to why 'KULIKONI' newspaper was suspended despite the record of a high press freedom in the country.

The minister was briefing the envoys who represent their governments here on the development of good governance in the country. Mr Membe said the Government neither censored nor limited the media from doing its work.

“Tanzania media enjoys the most freedom, with this freedom the public has access to information on government operations, corruption scandals and political issues unlike our counterparts in the region,” he said.

Mr Membe commended the media for, for instance, the work well done to cover the Richmond scandal that culminated into debates and later in clear and logical conclusion.

Different issues including the Richmond scandal were brought to the public’s eye by the media, debated and later concluded logically and amicably. Mr Membe maintained that 'Kulikoni'was suspended due to a breach of law.

The minister denounced the ongoing debates on closure of Richmond and private candidacy as irrational.

The minister said the Parliament raised concern that it had been satisfied by the action taken by the Government in implementing some of the 23 recommendations.

Regarding the CCM rift, he told the envoys that the party was threatened by a sharp and wider division in the parliament but not by the nationwide party membership.

“Richmond was not shot down as the debates go in press and in the public but was logically concluded for the Government to take over pending issue for further action,” he said.

Mr Membe said the Government did deny the responsibility to implement independent candidacy, but was defending the Constitution.

According to the minister, the Constitution clearly stipulates that the President of Tanzania will come from one of the political parties.

“We have the mandatory role to defend the Constitution, unless the court judgment is made in favour of a private candidate and the Constitution is changed,” he said.

He ruled out the possibility of having a private candidate in the forthcoming general elections because time required to change the constitution was not enough.

“There is a little chance for a private candidate to come up in this general elections because of constitutional change process,” he said.

Source: Daily News
 
Angalieni huyu pimbi anachoongea, anaulizwa kwanini Kulikoni limefungiwa anaanza hadithi za kujitapa ati tunaongoza kwa media freedom! Media Freedom your foot!:mad:
 
Serikali ya Chama Cha Majambazi itatoa kila kisingizio lakini Watanzania sio wajinga kitajulikana tu. Yaani huyu Membe anatufananisha sisi na Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda? Kweli CCM tambara bovu halikawii kuchanika.
 
kwanza mmemuita pimbi,
halafu mkamuita mende,

badala ya kujibu hoja mnamtukana,
so much for great thinkers...

mimi nafikiri hoja ipo wazi kuwa
pamoja na matatizo ya kulifungia gazeti la kulikoni
na kumwagiwa tindikali kwa Kubenea..
Tanzania bado ndio nchi iliyo juu zaidi
kwa uhuru wa habari around east and central africa.
kama kuna mtu anabisha,amwage hoja na sio matusi.
 
kwanza mmemuita pimbi,
halafu mkamuita mende,

badala ya kujibu hoja mnamtukana,
so much for great thinkers...

mimi nafikiri hoja ipo wazi kuwa
pamoja na matatizo ya kulifungia gazeti la kulikoni
na kumwagiwa tindikali kwa Kubenea..
Tanzania bado ndio nchi iliyo juu zaidi
kwa uhuru wa habari around east and central africa.
kama kuna mtu anabisha,amwage hoja na sio matusi.

The Boss, hii ndio JF.... kama huna hoja basi tukana au go personal. Ukishindwa kwa hoja utashinda kwa matusi!!
 
tanzania media freedom is very high something i wish kenya would have, but i think where it falls short is the media vibrancy. the media and publishing houses are not as vibrant or pro-active as they should be.
 
kwanza mmemuita pimbi,
halafu mkamuita mende,

badala ya kujibu hoja mnamtukana,
so much for great thinkers...

mimi nafikiri hoja ipo wazi kuwa
pamoja na matatizo ya kulifungia gazeti la kulikoni
na kumwagiwa tindikali kwa Kubenea..
Tanzania bado ndio nchi iliyo juu zaidi
kwa uhuru wa habari around east and central africa.
kama kuna mtu anabisha,amwage hoja na sio matusi.

Nani alimwambia hicho ndio kipimo tulichojiwekea Watanzania? Yeye pamoja na boss wake vilaza tu huwezi kujiwekea kipimo ambacho kipo chini zaidi ya uwezo wako.

Tena angalia nchi anazotufananisha nazo - Kenya wamechinjana juzi juzi tu kama tumbili, Uganda Museveni ni dictactor, Rwanda hata hawajatulia baada ya kuuana kwa ukabila Rwanda hata haijulikani katika mazingira ya free press, what the hell does this Membe talking about? We can do better than that.
 
Media freedom?Only south africa has a high press of freedom!Tungejua mambo ya Zuma,ingekuwa tanzania?
 
kwanza mmemuita pimbi,
halafu mkamuita mende,

badala ya kujibu hoja mnamtukana,
so much for great thinkers...

mimi nafikiri hoja ipo wazi kuwa
pamoja na matatizo ya kulifungia gazeti la kulikoni
na kumwagiwa tindikali kwa Kubenea..
Tanzania bado ndio nchi iliyo juu zaidi
kwa uhuru wa habari around east and central africa.
kama kuna mtu anabisha,amwage hoja na sio matusi.

Anadivert attention from the issue at hand.

Hata kaa Tanzania inaongoza kwa freedom of press EA, that does not say much kwa sababu EA is hardly a world class yardstick for freedom of speech.

Ningetegemea aseme kitu kama Tanzania ipo katika top ten ya list ya freedom of speech ya Amnesty International, Transparency International or something like that.

Hii ni sawa na mtu anakuuliza kwa nini unampiga mkeo halafu unajibu mimi ndiye mume mwenye rekodi ya kumpenda mke wangu kuliko wote mtaani. The fact remain hata kama tungekuwa number one kwenye freedom of speech, hiyo haimaanishi kwamba hatutakuwa na issues, let's address specific issues and quit this distortion bizz.
 
Tanzania ina maradhi ya kupenda sifa.

Hakuna siku utasikia watawala wakijipimia dhidi ya maoni ya wananchi wa Tanzania. Kipimo chao ni sifa za nje ya nchi. Kwa mfano, kwenye hii habari mtawala anazungumza na balozi wa nchi za wazungu. Ingekuwa ameulizwa na mtu mwingine kama vile mwandishi wa habari wa gazeti la Kitanzania, sidhani kama angepoteza muda wake muhimu hata kutoa majibu...

Sifa
Sifa
Sifa
Sifa
 
kweli huyu hana sifa za kuwa kiongozi bali anafaa kuwa kiongozwa kwa kuwa anacho kisema hakiendani na alichoulizwa dat why tunasema wanafanya kazi kwa kukariri hawawezi kusoma alama za nyakati kuwa huu ni wakati gani na hiki kizazi ni kipi kinbataka nini hawajui ni kihiyo membe
 
Tuache kujadili upuuzi, in africa freedom of press should not be a criteria of judging wether the government is good or bad simply because its shouldnt have been a priority at first place as we have other crucial issue to tackle like extreme poverty, diseases,inflation of basic needs, hunger and education, what i mean is we should not divert attention on crucial issues to nonsense stuff like freedom of press, does freedom of the press bring food on the table?

Lets leave these luxury to developed countries as they have already sort out the critical issues long ago now we simply can not jump into that ship for now!
 
daaah membeeee usione shida kwenda kunoa english yako pale british council....mi sijakuelewa ulichokuwa unajibu jana..kweli wewe ni waziri wa mambi ya nje kweli?hivi kwa nini usionge kiswahili tu wanaojua wakatafsiri...kama hukuona wenzio mabalozi walikuwa wanachekea chinichini...teh teh
 
WHo needs this theoretical freedom of press au uhuru wa kuchonga wakati waTz mifukoni kutupu? Na hakuna prospect yeyote ya kubadilisha hali kwa siku za usoni? Inasaidia nini sasa? UPUUZI MTUPU!
 
Back
Top Bottom