Tanzania has collected only $1 million in income tax from Mining company over 4yrs

Sawa wajameni

inaonekana mjadala huu una-political motives, nature ya ufisadi serikali is so complex kiasi ambacho utadhani kunashetani mule linalo-coordinate huo ufisadi. Wanaofaidi ni wengi mno directly or indirectly na pointing a finger to a single person is useless.
 
Tanzania ukitafuta mchawi hutampata.

Tatizo ni CCM na serikali yake.
Tatizo ni Elimu duni ya wadanganyika, elimu ya kusoma na kuandika tu. Si ya kuweza kuchambua mambo.

Kumbe siko peke yangu. Nafarijika nikiona namba inaongezeka.
 
Sawa wajameni

inaonekana mjadala huu una-political motives, nature ya ufisadi serikali is so complex kiasi ambacho utadhani kunashetani mule linalo-coordinate huo ufisadi. Wanaofaidi ni wengi mno directly or indirectly na pointing a finger to a single person is useless.

Lemme post this one here:

Morogoro shoe factory was owned by the Tanzania goverment, a goverment that had failed at every big and small initiative since independence.
 
Tatizo kama ripoti ilivyoonyesha si la Tz tu, ni la dunia nzima. Kuna mtandao wa kimafia wa kidunia ambao ndio una miliki makampuni makubwa ya madini na mafuta ulioamua kujifaidisha kwenye rasilmali za asili. Mtandao huu umejaa mayahudi na baadhi ya wanasiasa na wafanya biashara wa marekani, canada, australia, south africa (white) na uk. Pia wamo familia ya bush. anadhani hamjasikia kuw bush pere (senior) aliuza mgodi wa dhahabu kule marekani kwa barrick gold kwa $10 million lakini mgodi ulikuwa na faida ya $10 billion, of course ilikuwa skendo kule marekani. Mafia hawa wanatumia sana-wameweka watu wao katika senior position za WB na IMF and WTO etc, mmoja wao ni watu kama Paul Wolfowitz, mafia mkubwa.

Nchi zilizofaidi ni zile zilizoanza zamani kama botswana. Lakini nyingine zote zilizochelewa ilikula kwao.

....kubali ni corruption tuu na viongozi wasio na vision ndio sababu ya mambo kama haya yanatokea,nakushauri pata facts achana na consipiracy...angalia tuu jinsi hiyo migodi mikubwa inavyosimamiwa na TRA ili kuangalia kiasi gani wanatakiwa kulipa kodi utapata majibu yote na unaweza kuamini sisi ni wendawazimu,inasikitisha jamaa wanabeba tons and tons of gold na wanaowasaidia ni hao hao watanzania kwa rushwa ndogo tuu.
 
La Verite,
Botswana haikuanza zamani. Kabla hawajaanza walikuja kwetu kuangalia mikataba tuliyokuwa nayo wakati huo. Nakubaliana na Koba kuwa ni rushwa tu na uroho wa viongozi wasio na vision ndio vilivyotufikisha hapa tulipo. Kwa mujibu wa ripoti ya Bomani, mikataba ya sasa iliandikwa na wawekezaji, na siyo sisi. Sisi tuliangusha tu sahihi baada ya kupewa chochote. Kinachonishangaza ni kwa nini tulitupa kapuni mikataba yetu ambayo imeinufaisha Botswana na kwenda na hii ya wawekezaji?
 
...nafikiri its time investor yeyote anayetaka madini yetu lazima serikali au watanzania wawe na stake atleast 25%,najua mtasema hakuna watu au serikali haiona pesa za investment kubwa kama hizi...kwangu nafikiri land tuu na huo utajiri unatosha kabisa kukamata hiyo 20%,acha walete technology na sisi tutafungua ardhi yetu kama hawataki wafie mbali kuliko kuibiwa kitoto namna hii!
 
This is a joke!!!Ama kweli mafisadi wako juu zaidi tunavyofikiria, yaani there's no one in those called law makers with the balls to stand up for this B@#$t, I dont know how long we gonna take this BS. Nafikiri sasa hii system ya Chukua Chako Mapema itatufanya wanaanchi tushike bakora na tuanze kuwasaka.....Sirikali yetu, please do something about this.
 
And I thought Kikwete was an economist, no?

Hizi fani walizosomea wanazikumbuka wakiwa madarakani. Watu tokaa wamalize shule walikuwa wameendekeza ulabu, wanapata urais wanataka kuonyesha intellectual curiosity zao.

Katika marais waliokuwa wanajisomea ni Nyerere na Mwinyi tu.
 
Back
Top Bottom