Tanzania has been ranked the 24th poorest country in the world

Gobole

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
900
1,000
Yani tuwe wa 10 kati ya inchi 52 zenye uchumi mkubwa Africa, mbele ya inchi nyingine 42 then tuwemo kwenye list ya inchi maskini 25 duniani huku hizo 42 tulizozizidi Africa zikiwa hazimo?
Hata Somalia isiwemo kwenye list.

Anyway nlitaka kuuliza kupata vichekesho km hivi tunabonyeza no ngapi?
 
nomasana

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
1,481
2,000
Poleni sana bandugu, duh! Lakini hii inadhibitisha ule utafiti wa IQ rankings, yaani raslimali zote mnazo ila mnatajwa kwenye mataifa maskini wa kutupwa, kwa kifupi haupewi vyote, lazima uchague moja kati ya ubongo na raslimali.
I told them it's because of stupidity but they couldn't accept it

Poor IQ scores + failed economic policies. There's only one logical conclusion, they're stupid.
 
passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
751
1,000
Alafu unaoneka uweZo wako wa kuchambua vitu ni mdogo iweje nchi ya kumi kwa uchumi afrika iwe kati ya nchi masikini 50 duniani.ndo maana na sema wakenya IQ yenu ni ndogo sana alafu mnasapotiana ili kudhihirisha IQ yenu kuwa ni ndogo
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
11,695
2,000
I told them it's because of stupidity but they couldn't accept it

Poor IQ scores + failed economic policies. There's only one logical conclusion, they're stupid.

You have never attended the logical science classes, how the country that feeds you is poorest on earth. Again, how a 10[SUP]th [/SUP]wealthy country in the continent becomes such a poor.
 
Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
566
1,000
Yani tuwe wa 10 kati ya inchi 52 zenye uchumi mkubwa Africa...mbele ya inchi nyingine 42 then tuwemo kwenye list ya inchi maskini 25 duniani huku hizo 42 tulizozizidi Africa zikiwa hazimo?
Hata Somalia isiwemo kwenye list...
Anyway nlitaka kuuliza kupata vichekesho km hivi tunabonyeza no ngapi?
You are 10th in terms of GDP.....the rankings considered GNI per capita ....Kwa ufupi a country with 58m people sharing 62b USD is poverty. Hiyo Somalia umetaja might have a small GDP but being shared by few people. Pangeni uzazi!!!!
 
Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
566
1,000
You have never attended the logical science classes, how the country that feeds you is poorest on earth. Again, how a 10[SUP]th [/SUP]wealthy country in the continent becomes such a poor.
I'm sure you understand the difference between GDP and GNI per capita. It is what it is!! 62b being shared by 58m people is poverty!
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,003
2,000
Mimi naona ni sawa kwasababu GDP ya $62B kwa pop ya watu 58M bado haitoshi.

Kikubwa nmeona improvement kubwa kipindi fulani tulikua kwenye kumi ya mwisho.

Nafasi ya 24 ni mbali kidogo na kwa ukuaji wa uchumi tutakua sawa siku zijazo. Tunakubali madhaifu na tunayafanyia kazi.
 
Gobole

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
900
1,000
You are 10th in terms of GDP.....the rankings considered GNI per capita ....Kwa ufupi a country with 58m people sharing 62b USD is poverty. Hiyo Somalia umetaja might have a small GDP but being shared by few people. Pangeni uzazi!!!!
GNi ya Tanzania ni $1080...Somalia $312...Does $312 look greater than $1080?
A simple google search ingekupa haya majibu...Usiwe Unaongea kwa kukurupuka ili mradi na ww uonekane umechangia ili hali umechangia matango pori tupu...kaa tuliza akili, do a little reseach then njoo.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,390

Wow! This explains it so well....
 
Gobole

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
900
1,000
A third of your 60m population haina umeme Yani 40m people wanatumia koroboi karne hii ya 21???
Let's assume kua your figures are correct. 60m people and 1/3 hawana umeme
..But kweli 1/3 ya 60m inakupa 40m....Uliona wapiiiiiii?
I bet ulikimbia umande kungali mapema sana, sio kwa kuvurunda huku...
Fungua calculator ktk simu yako weka 60m gawanya kwa 3 uone km inakuja 40m...
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
10,945
2,000
Halafu wataka kujenga reli kuelekea Burundi. Nchi masikini kushinda zote duniani.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
10,945
2,000
Wewe unajua Uganda ina watu wangapi ama unatapika tu hovyo hapa?
Yaani hii spana niliowapiga ndio inawachanganya hivi?

Kenya inanuka umasikini ukanda huu wote, hata Burundi na South Sudan wamewapita

View attachment 1556567 View attachment 1556568

Zingatia, hii report ya Tanzania kuwa na 12m ni ya mwaka 2012,maana yake saivi ni million 5 tu huku Kenya masikini wa kutupwa ni million 24 maana yake wakenya ni masikini kuliko idadi yote ya wananchi wa Uganda 😅😅😅😅😅
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
10,945
2,000
Alafu unaoneka uweZo wako wa kuchambua vitu ni mdogo iweje nchi ya kumi kwa uchumi afrika iwe kati ya nchi masikini 50 duniani.ndo maana na sema wakenya IQ yenu ni ndogo sana alafu mnasapotiana ili kudhihirisha IQ yenu kuwa ni ndogo
Hapa wanaangalia Gni per capita. Hawazingatii Gdp hapa. Kwenye Gdp mpo number 10 Africa lakini kwenye Gni per capita mpo number 24 kuanzia nyuma. Mnavuta mkia sana.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
10,945
2,000
Mimi naona ni sawa kwasababu GDP ya $62B kwa pop ya watu 58M bado haitoshi...

Kikubwa nmeona improvement kubwa kipindi fulani tulikua kwenye kumi ya mwisho ...

Nafasi ya 24 ni mbali kidogo na kwa ukuaji wa uchumi tutakua sawa siku zijazo...Tunakubali madhaifu na tunayafanyia kazi
Evidence unayo kuwa mlikuwa kumi bora kuanzia nyuma? Kama kweli basi hongera sana
 
Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
566
1,000
GNi ya Tanzania ni $1080...Somalia $312...Does $312 look greater than $1080?
A simple google search ingekupa haya majibu...Usiwe Unaongea kwa kukurupuka ili mradi na ww uonekane umechangia ili hali umechangia matango pori tupu...kaa tuliza akili, do a little reseach then njoo.
Lol!! Just accept 62b divided by 58m people ni umaskini hohehahe!!!! I dont need to research about any one or anything else vitu zingine ni common sense. If Kenya's GNI is almost twice Tanzania's and i know for sure Kenya is a poor country by global standards.......i can only imagine the level of poverty in TZ :eek::eek::eek::eek::eek:!!!
 
Gobole

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
900
1,000
Lol!! Just accept 62b divided by 58m people ni umaskini hohehahe!!!! I dont need to research about any one or anything else vitu zingine ni common sense. If Kenya's GNI is almost twice Tanzania's and i know for sure Kenya is a poor country by global standards.......i can only imagine the level of poverty in TZ!!!
Sasa uki divide 62B by 58m unapata ngapi km sio 1068?
Hiii ndo shida ya kujadili mambo na watu waliokimbia umande...simple math zinakutupa nje....
Tumia ht calculator ya Simu itakusaidia kuficha ukilaza wako...
 
Gwizzy

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
566
1,000
Sasa uki divide 62B by 58m unapata ngapi km sio 1068?
Hiii ndo shida ya kujadili mambo na watu waliokimbia umande, simple math zinakutupa nje.

Tumia ht calculator ya Simu itakusaidia kuficha ukilaza wako.
Boss whatever the answer is does not matter to me. 62B divided by 58m is poverty. Two things, either mpange uzazi ama muongeze GNI!!!! Hizo hekaya zingine zinaitwa denial. Kubali umaskini and work on it!!! Hiyo umbea ingine haisaidii chochote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom