"Tanzania Hamna Press;" Je, Kuna Critics Walio mahiri?

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
"Tanzania hamna press" ni usemi unaojirudia rudia hapa JF, haswa ukipendwa kutumiwa na mwenzetu Kuhani, ambaye ni mtu makini sana na amechanganua kwa urefu na mapana mengi ambayo huwa mara nyingi yanasemwa na kuandikwa bila kupingwa au kukosolewa hapa jamvini.

New Media ikihusisha ma-blog na social networks imewezesha kuunganisha watu wengi ukiachilia mbali kuwahabarisha watu katika karne hii ya 21. Tukikubali kuwa Tanzania yetu bado iko nyuma sana ki-teknolojia, hata hii ya TEKNOHAMA (habari na mawasiliano) ambamo imeonekena kusogea mbele zaidi.

Sasa wanaJF, ili kuepukana na usemi huu kubadilika kuwa 'buzzword', yakuwa Tanzania hamna press hivyo kuhalalisha mengi ambayo yanaweza kuongelewa kuhusiana na Tanzania bila kupingwa au kuishia kupuuziwa; naomba tuuangalie 'usemi' huu kiundani zaidi kwa kujiuliza maswali yafuatayo:

---Je, ni kweli Tanzania hamna press?

---Kama Tanzania hamna press, je kuna critics wa hiyo press?

---Je, kuna aina za press?

---Kama kuna aina tofauti tofauti, zipi ziko juu na zipi zimedumaa?

---Kama Tanzania hamna press ni kipi kifanyike kuleta hiyo press?

Naomba kuishia hapa kwa sasa. Asanteni.

SteveD.
 
Tanzania kuna Press na kuna wababaishaji kama walivyo hata kwenye nchi zilizoendelea. Hata marekani na ulaya kuna wababaishaji kwenye media na ubovu wao haufanyi press yote ikadhalilishwa.
 
Kuhusu ndege ya Maliasili iliyoanguka na kuua, mtangazaji wa Taarifa ya Habari ya Tanzania Broadcsting Corp. ya saa 2 usiku EAT, July 4, 2008, amesema mara tatu, "Watumishi watatu wa Wizara ya Maliasili wamekufa papo hapo baada ya ndege kuanguka..."

Sasa, hii ndege ilipotea kwanza, na hakuna aliyeshuhudia wanakufa papo hapo.

Hako katofauti kana umuhimu gani?

Inawezekana Marehemu walighalaghala porini dakika, hata masaa kadhaa, bila msaada ambao ungeweza kuwaokoa. Hujui walikufa hapo hapo.

Katika nchi zilizoendelea, kushindwa kusaidia waliofikwa na maafa kama wangeweza kuokolewa ni skandali kubwa. Tanzania hatujafika kuwa na uwezo wa kufikia kwa haraka kwenye kila pori kuokoa watu.

Lakini usisema kwamba walikufa papo hapo. Hujui.

Sasa hii taarifa ndio Watanzania millioni 40 wamesomewa jioni ya leo!

Cheesy press!
 
Kuhusu ndege ya Maliasili iliyoanguka na kuua, mtangazaji wa Taarifa ya Habari ya Tanzania Broadcsting Corp. ya saa 2 usiku EAT, July 4, 2008, amesema mara tatu, Watumishi watatu wa Wizara ya Maliasili wamekufa papo hapo baada ya ndege kuanguka..."

Sasa, hii ndege ilipotea kwanza, na hakuna aliyeshuhudia wanakufa papo hapo.

Hako katofauti kana umuhimu gani?

Inawezekana Marehemu walighalaghala porini dakika, hata masaa kadhaa, bila msaada ambao ungeweza kuwaokoa. Hujui walikufa hapo hapo.

Katika nchi zilizoendelea, kushindwa kusaidia walioofikwa na maafa kama wangeweza kuokolewa ni skandali kubwa. Tanzania hatujafika kuwa na uwezo wa kufikia kwa haraka kwenye kila pori kuokoa watu.

Lakini usisema kwamba walikufa papo hapo. Hujui.

Sasa hii taarifa ndio Watanzania millioni 40 wamesomewa jioni ya leo!

Cheesy press!

Watanzania millioni 40 - 1 aliyesoma = Watanzania 39,999,999

Kuhani nimeamua kukuchokoza tu mkuu wangu...;)
 
Watanzania millioni 40 - 1 aliyesoma = Watanzania 39,999,999

SteveD,

Yule msomaji mmoja pale anasoma kitu alichotaarishiwa na Wahariri na Waandishi wengine wa Tanzania Broadcasting Corp.

Kwa hiyo TBC nzima wamepotosha Watanzania millioni 40 - staff ya TBC - myself ≠ 39,999,999.
 
Watanzania millioni 40 - 1 aliyesoma = Watanzania 39,999,999

Kuhani nimeamua kukuchokoza tu mkuu wangu...;)

Nimeipenda hiyo ila umesahau - watoto waliokuwa wamelala, na wasio kuwa na radio, au TV au mawe (batteries) ili kusikiliza radio na radio ya kijiimefungwa mwenyekiti hayupo leo. Lol
 
Haya mambo ya mahesabu yana highlight jambo moja ambalo nimeliuliza, kwamba, je Tanzania kuna ma-critics wa press wanaofaa?

Kuhani ametoa mfano mzuri sana kuhusiana na taarifa ya habari iliyosomwa na TBC. Lakini hapo hapo kama critic naye ametoa maelezo kimjumuisho kwa lengo la kukosoa. Sasa katika hili ni kwamba, iweje "relative reporting" inakuwa measured against "absolute reporting?" Hapa nimetumia neno relative na absolute, kwa sababu miye siyo mtaalam wa mambo ya habari na criteria zitumikazo ku-categorize aina za habari. Ila lengo langu hapa ni kuonesha kwamba, saa nyingine approximation na relative data representation kunatumika in place and time kutokana na mazingira ya jamii iliyomo.

Hapa unaweza kusema kwamba nina justify notion kuwa Tanzania hamna press, hapana. Najaribu kujenga kesi kuwa, iwapo unajua fika kwamba Tanzania haina air ambulances, haina medical resource n.k. nzuri za kufikia matukio ya ajali, iweje sasa mwana habari aripoti kwa precise data wakati mazingira yake hayamruhusu?

Sio mazingira hayamruhusu, labda useme it doesn't matter katika mazingira ya Tanzania akiripoti wamekufa papo hapo, bila kujua kama walighalaghala porini saa nzima, kwa sababu hatungeweza kuwafikia kuwaokoa anyway.

Sawa. It doesn't matter. Very trenchant observation.

Here is the thing though. Kama it doesn't matter, kwa nini sasa utunge kitu ambacho hakipo wakati hata ungeacha tu bila kujaribu kuweka time frame ya kifo, kwa Tanzania it wouldn't matter anyway? Badala ya kutunga time frame, si angejinyamazia tu, manake kwetu it doesn't matter anyway. Kwa nini utunge?

Hilo moja. La pili ni kwamba unapotunga time frame isiyojulikana kama ni kweli, na hii ikiwa ni taarifa ya Serikali, inakuwa kama unaficha ficha uwezekano wa hawa watu kuokolewa. Japo hatuna uwezo wa kufika kwenye kila pori kuokoa watu, ni muhimu, kama sio lazima, tuwe tunajua matatizo na mapungufu yetu. Manake hiyo ndio dream yetu, kwamba kuna siku na sisi tuwe tuna ambulance helicopters na heat-seeking detectors na mbwa wa kutafuta binadamu waliopotea ili kuweza kusalimisha maisha ya majeruhi. Tukificha ficha ugonjwa hatuwezi hata kuanza kufikiria kuuponya.

Tatu, mimi nadhani tatizo ni lugha. Binafsi nadhani Waandishi wa TBC hawajui maana ya kufa papo hapo. Nadhani walichojaribu kufanya ni kutoa picha kwamba ajali ilikuwa mbaya sana, hawakubaki majeruhi, wala hakukuwa na matumaini ya kuokoka. Hivyo wanatumia lugha ya kusema "wamekufa papo hapo." I bet you tatizo ni lugha. We sikiliza taarifa hizi utaona wanavyochapia Kiswahili kila siku.

Sasa inapofika Wahariri wanachapia mpaka Kiswahili chetu hiki hiki cha kila siku, sio misamiati ya Kiswahili cha pwani, ndio hapo unajiuliza hivi hawa watu vipi hawa?
 
Wakuu KUhani na Steve D, kama Mwafrika alivyosema, hayo yanaweza kuwa matatizo ambayo hata nchi nyingine unaweza kuyakuta kwenye press, lakini yukijadili kuanzia huko tutakuwa tunaikwepa bila kujua hii mada. Na hakika ni nzuri sana, kwa kuwa siku za nyuma critics kama Rev Kishoka wamewahi kupendekeza kuwa hakuna umuhimu wa state kuwa na media, nadhani tutapata mchango mzuri sana kwenye udhaifu wa press Tanzania.
Kwa namna yeyote ile, ubutu wa Press kama ambavyo unaonekana na baadhi yetu hautufanyi tu rule outright kuwa hakuna press Tanzania. Tukisema hivyo, hatutakuwa na shukrani kwa baadhi ya vyombo ambavyo vimekuwa vikifanya kazi nzuri hadi sasa.

Pia, ni vema tukakumbuka hata angle ya uwekezaji katika press, na tutakuja pia kuona kama kuna effective investing--in a much wider perspective--katika mazingira yetu ya kibongo.
 
Campaigns to `demystify` location of Mount Kilimanjaro launched

ippmedialogo.gif

2008-07-16 09:49:35
By Beatrice Philemon

Two German-based media outlets started yesterday an aggressive campaign seeking to throw light on the exact location of Africa`s tallest mountain, Kilimanjaro.

Over a period of dozen days, MORGENMAGAZIN in collaboration with the ARD Television would be conducting live broadcasting right from Mount Kilimanjaro to German television viewers, an important source of tourists for Tanzania.

Amant Macha, Director of Marketing at Tanzania Tourist Board (TTB) has said during their visit in Tanzania, members of the two media organisations would also be accompanied by a group of eleven German travellers to scale Mount Kilimanjaro.

According to Macha, ARD is one of biggest public television stations in Germany whose services are also broadcasted to Austria, Switzerland and the rest of Europe.

``For the whole week, Kilimanjaro Region and the Mountain will benefit from three live TV transmissions daily, as we target to demystify the true geographical location of Mount Kilimanjaro``, he said.

For so many years, Mount Kilimanjaro has attracted many foreign visitors, especially mountain climbers, researchers, geographers and journalists who have written extensively on the majestic, ice-clad mountain``, he said.

TTB and the Ministry of Natural Resources and Tourism do believe through such tours, tourism in general would be promoted.

In special way, cultural tourism would also experience boosting again, as visitors would be introduced to banana and coffee farming sub-cultures in the region.

Mount Kilimanjaro is the tallest peak in Africa and at a height of 5,895m (19,341 feet); it is also the tallest free standing mountain in the world.

_________________________________________________________

What myth?

Is it not known where the mountain is?

Shouldn't this writer address that?

Or, is it my dim reading comprehension?

Or, a pitiful paper?
 
Tanzania kuna press sema shida ni kwamba watu wachache wameicontorl ambao wako in power hivyo wana decide what is to be aired out and what is to remain under the carpet na hawa watu wachache ndio wanamake news hapa nchini.Huwezi tegemea hata siku moja ITV waseme kitu kibaya kuhusu Mengi ni masifu tuu kama vile he is always perfect and whats more hata hawa editors wa magazeti before kupitisha jambo ni ukiritimba na ybinafsi mkubwa una take place before habari kupitishwa.
 
Kuhani, je swala la baadhi ya vyombo binafsi vya habari kuwa "coached" kuripoti yanayojiri Tarime kuhusiana na msiba huu wa Mh. Wangwe unalichukuliaje na uamuzi wa TBC1 kwenda kupiga kambi kule?!
 
Steve,

Unajua ukiwa na disgrace halafu ukafikiri "it can't get any worse"? Sasa hii habari ya copy paste ni lower than low, pale nilipofikiri "it can't get worse than this" imeenda kuwa mbaya.

Yaani wanakuwa kama wanafunzi bongolala wanaogezeana siku ya mtihani, hawajui hata mbinu za kufanya mwalimu asiwashtukie kuwa wamegezeana.Yaani mpaka coma wanaweka pale pale? Magzeti tofauti, waandishi tofauti?
 
Jamani mimi naona mnawalaumu mno kupita kiasi. Sidhani kama wana nyenzo/ resources zitakazowawezesha kufanya kazi yao kwa umahiri. I think some of you are being overly critical. I'll cut them some slack given that we're a third world country....
 
After what happened with Wangwe and the controversial coverage of the story ni ubabaishaji mtupu hapa Bongo.
 
Nyenzo gani? Kwani tunaongelea mainjinia hapa wanaojenga madaraja au madaktari wanaofanya upasuaji?

Nyenzo gani wanahitaji hawa waandishi, kujua kuandika kunahitaji nyenzo zaidi ya ubongo mzuri na kujua kuutumia? Unataka kusema hawana vitabu? Au wanahitaji vitabu kujua kuwa mnapo fake kuandika habari tatu tofauti kutoka katika script moja you have to at least change it up a little?
 
After what happened with Wangwe and the controversial coverage of the story ni ubabaishaji mtupu hapa Bongo.
...huu ndiyo msimamo wako kwa sasa, daima au? je hii ni criticism inayofaa au ili kuwa mahiri tunatakiwa kuchukulia kila jambo na mazingira yake kuliko ku-paint kila kitu with the same brush?

SteveD.
 
Nyenzo gani? Kwani tunaongelea mainjinia hapa wanaojenga madaraja au madaktari wanaofanya upasuaji?

Nyenzo gani wanahitaji hawa waandishi, kujua kuandika kunahitaji nyenzo zaidi ya ubongo mzuri na kujua kuutumia? Unataka kusema hawana vitabu? Au wanahitaji vitabu kujua kuwa mnapo fake kuandika habari tatu tofauti kutoka katika script moja you have to at least change it up a little?

Tell them Pundit.
They have disgraced this noble profession by falling into the whims of RA.They are a disgrace and an embarrasment.
Unahitaji nyenzo hadi kwenye kukosea jina la mtu?How stupid they must have been hata walishindwa ku re-arrange hiyo stori.
Ngoja tusikie what they will have to say hiyo kesho ila kama hata huyu Sakina Datoo yupo nitamwona bure kabisa maana ana kilele sana kuhusu hii profession.
 
...huu ndiyo msimamo wako kwa sasa, daima au? je hii ni criticism inayofaa au ili kuwa mahiri tunatakiwa kuchukulia kila jambo na mazingira yake kuliko ku-paint kila kitu with the same brush?

SteveD.

Utakuwa daima unless waje forward with a meaningful explanation enough to convince me kama hawa TBC na haya magazeti yote yaliyoandika kuhusu Mbowe na hizo bahasha tunazosikia walipewa if they knew something about this murder or they were trying to conceal or act on interests of other people.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom