Tanzania hakuna wacheza filamubali wacheza maigizo

Maigizo haya:
Director: yeye mwenyewe
Actor: yeye mwenyewe
Editor: yeye mwenyewe
Script: yeye mwenyewe
Sound: demu wake
Mixing: shemeji yake
Mtunzi: yeye mwenyewe

Story nzima kisa kimoja tu na bado inauza, kweli Watanzania tumerogwa. Halafu kuna hizi English sub-tittles za ku-'dig medicine', mweh!

Kitu pekee walichofanikiwa ni kuwa wahuni na kuandikwa kwenye magazeti ya udaku na wao kwa akili zao fupi wakaona hayo ni mafanikio.
 
Hopeless Tanzanians (SOME, NOT ALL), mijitu inalia (HASA WANAWAKE) eti Kanumba (RIP) alikuwa mcheza sinema kafa, hapa Tanzania hakuna mcheza sinema bali mcheza maigizo. Ni michezo ya kuigiza tu hakuna filamu hapa!!!

wewee unayako na Kanumba, wivu au? mbona ameweza kwenda nje ya nchi na alionyesha kipaji chake? tabu ni kuwa na waovyo nchini wanafunika wengine wanaosonga mbele

misauti yao wote ya kuvutaaaaaaa fake fake fake
 
Kweli mtupu nakubali kabisa.Mtu uwezi kuigiza sinema 40 kwa mwaka! sinema moja yaweza kuchukua mwaka kuendelea.Eg 10 commandment took 15yrs!!!!

Nadhani ni upumbav kulinganisha movie industry ya Hollywood na ya kwetu..
 
wewee unayako na Kanumba, wivu au? mbona ameweza kwenda nje ya nchi na alionyesha kipaji chake? tabu ni kuwa na waovyo nchini wanafunika wengine wanaosonga mbele

misauti yao wote ya kuvutaaaaaaa fake fake fake

Kwenda nje ya nchi kwa Kanumba hakujaleta faida yoyote kwa taifa letu, 2sidanganyane kalitangaza taifa wakati ni uongo mtupu.. Filzmu Tanzania badoo sana.. Hata zile tamthilia za kifilipino mwigizaji mdogo kabisa utaona uwezo wake wa kazi kupitz waigizaji wetu hapa wasiopenda kujifunza mambo mapya na kuboresha vipaji vyao.. RIP Kanumba, lets not mek it a nig stry kuridhishana na sisi tumoo.. Ni hayo tu
 
Hopeless Tanzanians (SOME, NOT ALL), mijitu inalia (HASA WANAWAKE) eti Kanumba (RIP) alikuwa mcheza sinema kafa, hapa Tanzania hakuna mcheza sinema bali mcheza maigizo. Ni michezo ya kuigiza tu hakuna filamu hapa!!!

bahati mbaya ..... ule umati uliomiminika nyumbani kwake ...wanazimikia hayo hayo maigizo...!!!

HATER!!

R.I.P KANUMBA THE GREAT!
 
wewee unayako na Kanumba, wivu au? mbona ameweza kwenda nje ya nchi na alionyesha kipaji chake? tabu ni kuwa na waovyo nchini wanafunika wengine wanaosonga mbele

misauti yao wote ya kuvutaaaaaaa fake fake fake

Jibu lipo hapo kwenye RED JF ipo loaded na watu wa aina hiyo!.... na A$$ kissers ...! & fulani ka support jambo flani na ni member mkongwe na wao! akili zinaanza kuwaruka! ... na ushabiki wa kisiasa "akili za kushikiwa na wanasiasa"

wamenisikitisha kweli wanapoanza kuponda marehemu! si utamaduni wetu sisi waafrika .. hakuna aliye perfect 100% alikuwa mlevi mpenda mashory ni yeye na maisha yake! as long mashabiki wake walikuwa wakimpenda kwa kazi aliyokuwa akifanya yeye ni star!
 
Hopeless Tanzanians (SOME, NOT ALL), mijitu inalia (HASA WANAWAKE) eti Kanumba (RIP) alikuwa mcheza sinema kafa, hapa Tanzania hakuna mcheza sinema bali mcheza maigizo. Ni michezo ya kuigiza tu hakuna filamu hapa!!!
Kwa kuongezea mkuu mbali ya wacheza maigizo ni wapiga kelele na wauza sura,tusubiri Shigongo atakavyouza udaku wake kwa habari za kizushi kuhusu kifo cha Kanumba,ni kufa kufaana kwa kwenda mbele
 
duh mmetisha.
hapa nime absorb mambo meengi sana hasa kutoka kwa upande wa wanaopinga kuisifia tollywood na serikali yetu legevu na inayopenda sifa ya JK.
my take; tu wachanga sana ktk filamu ila ndo hatua za kukua, hatuna haja ya kulumbana, tukazane tufanye maendeleo. naanini serikali ndo mzigo, imekaa kishabiko. nchimbi amekuwa akipigiwa kelele na wasanii kuhusu wizi wa kazi zao lakini hakuna hatua zozote alizochukua ila kwenye msiba alikuwa mbelle kumzika kanumba, jamani wa tz aibu sana.
 
Na wengi walihudhuria jana pale ni kwaajili ya kuona wasanii live..hakuna jipya..wengine wanajiangusha ili kupata umaarufu..
 
Acheni umbumbumbu jamani. Hao Nollywood na Hollywood walianzaje? Chako ni chako hata kama kikiwa ni kidogo, kibovu. Kinachotakiwa ni kukikuza au kukiboresha. Kucheza filamu nyingi au chache inategemea na aina ya filamu, mazingira na malengo ya filamu yenyewe. Tusijifunge mawazo yetu kama kifaranga kwenye boksi, lazima twende mbali zaidi ya hapo. Wewe unayeropoka, ukifa leo tutakukumbuka kwa lipi? si ajabu hata barozi wako wa nyumba kumi asifike kukuzika. Bora wasanii wetu wakiwemo wacheza filamu, maigizo na wanamziki wanaonyesha walau mchango wao kwa taifa. wewe mchango wako ni upi? au kupiga soga kwa domo lisiloonja mswaki? shut up!

kumbuka by the time Hollywood inachipuka wao ndio walikua waanzilishi wa mambo ya filamu,kifupi unaweza kusema kwa upande wao mwanzo ulikua mgumu kwani hata sehemu ya kuiga hawakua nayo...lakini wakina siye hata kuiga tunashindwa,kuna filamu nyingine ukisikiliza script zake ni vichekesho,halafu most of them are so predictable
 
Hopeless Tanzanians (SOME, NOT ALL), mijitu inalia (HASA WANAWAKE) eti Kanumba (RIP) alikuwa mcheza sinema kafa, hapa Tanzania hakuna mcheza sinema bali mcheza maigizo. Ni michezo ya kuigiza tu hakuna filamu hapa!!!

Kwani filamu ni nini na maigizo ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom