Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Apr 26, 2022
259
353
Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia ugumu kuukubali na kuendelea na maisha yako. Tatizo ni pale tu ukweli unapokuja kisha hukuandaa akili yako kuupokea, utaumia tu.

Kichwa cha habari cha makala yangu hii mafupi ni ukweli ambao utakuwa shubiri kwa wengi hapa JF na kwingineko. Kwanini nasema Tanzania hakuna vyama vya upinzani vyote ni CCM tu? Nitatoa ufafanuzi.

Upinzani wa kweli Tanzania ulikuwa ule wa kabla ya 1965, ila baada ya Katiba ya 1965 iliyotambua TANU pekee kuwa chama cha siasa, vyama vya vyote vya upinzania vimekuwa vyama vya mchongo tu kama mifereji ya kujipatia fedha.

Vyama vyote vilivyoazishwa baada ya sheria ya vyama vya vingi ya 1992 vyote ni vyama vya mchongo na hadi leo vinajiendesha kimchongo tu. Wasomi wa Political Science wanajua vyama vya upinzani huchipua vipi na katika mazingira gani, kwa mazingira ya vyama vya Tanzania ni wazi kabisa vilianzishwa kimchongo. Unajua ilikuwaje?

Wakati Tanzania inapita ukata wa hali ya juu kuanzia mwaka 1980 baada ya vita na Uganda hadi mwaka 1985, Tanzania ilikuwa kwenye shinikizo kubwa kutoka nchi za magharibi kukubali baadhi ya masharti kama kupunguza thamani ya fedha, kukubali demokrasia ikiwemo vyama vingi, kubinafsisha mashirika ya serikali na kadhalika ili tu ipokee misaada ya fedha kutoka IMF na WB kunusuru uchumi wetu. Hapo ndio michongo ya vyama vingi ilianzia.

Hapo chama kilikuwa kimoja tu, CCM kilichabadili jina kutoka TANU 1977. Wazee kwa busara zao wakachaguana ndani ya CCM humohumo na kwenda kuazisha vyama vya siasa kuwacheza shere wazungu ili tupate fedha. Wakati huo Urusi mtu wetu wa nguvu dhooful-hali, China naye hayuko sawa sana, ikawa hatuna namna tukubali tu masharti ya Magharibi.

Kuanzia hapo akina Mtei wakaazisha CHADEMA, akina Mrema wakaja na NCCR - Mageuzi, CUF, TLP na vyama kibao vikafuata hadi leo tuna vyama zaidi ya 25 na ukitazama kwa karibu zaidi ya 90% ya waasisi wa vyama hivi wakati fulani walikuwa wafuasi warekeketwa wa CCM.

Bado kuna mtu kila siku anawaza kwamba kuna siku CHADEMA au chama kingine kitakuja kushika dola Tanzania, huwa nacheka na kumuombea dua kwa Mungu amtue mzigo huo wa ujinga, maana ni adhabu kwake. Hakuna nadharia hata moja kwenye sayansi ya siasa ambayo inafiti kuelezea namna vyama vya siasa Tanzania vilivyoibuka. Ni wazi kwamba ulikuwa mpango uliopangwa kwa lengo fulani, na sio madhumuni mahususi na ya dhati ya ukombozi wa watu na mali zao.

Ndio maana unaona ni rahisi sana mtu leo kuwa CHADEMA, kesho yuko CCM. Tena sio mtu mdogo, bali mtu wa nafasi kama ya Waziri MKuu mstaafu au nafasi yeyote kubwa. Vyama hivi vya upinzani vinafanya kazi miaka yote kutoa tu uhalali kwamba Tanzania tuna vyama vingi, na mwisho wa siku kila chama kinakula hela yake kwa kazi nzuri ya kuidanganya dunia kwamba Tanzaia tuna vyama vingi.

Tanzania inaweza hata kudanganya dunia kumfunga kiongozi mkubwa wa upinzani gerezani kwa muda mrefu kuonesha namna siasa za vyama vingi zilivyochangamka Tanzania. Viongozi wale kule ndani nani anajua wanaishije? Nani anajua wanakula kitu gani au wanalala wapi? Wakitoka hao wanakwenda zao Ikulu kukutana na marafiki zao ambao sisi tunaamini ni maadui. Huwa nacheka sana.

Kubwa mtambue tu kwamba siasa za upinzani Tanzania ni kiina macho tu. Nyie hamuoni vyama vya upinzania hapa tu nchi za maziwa makuu vinavyokuwa? Acheni utani Tanzania hakuna vyama vya siasa ni miradi ya watu hii.

CCM is here to stay, na hata vyama vya upinzani vinavyoanzishwa vinajua wazi kwamba ni ndoto kushika dola. CCM imefikia hatua ambayo haiitaji tena watu au kura ishinde uchaguzi. CCM ina mbinu zaidi ya 10 za kushinda Uchaguzi bila hata kupata kura. Sasa ni chama utashindana nacho hicho?

Wakati tunakaua makoo maskani kubishana CHADEMA na CCM, na hata kupigana na kujeruhiana kisa vyama vya siasa, tutambue kuwa maumivu yetu ni mtaji mkubwa sana kwa watu fulani mahali fulani. Narudia tena, Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM.
 
we ni nzi wa kijani una uhakika mrema alianzisha nccr tafuta bwana wa kukulamba hyo asali kwenye msafara wa mamba na ww umo kenge mkubwa ww,usiulize kwann nimekutusi nazani jibu unalo
Nauliza ili iweje, mimi kwangu hakuna tusi yote maneno tu. So jitahidi kuwa mbunifu zaidi.
 
Wafuasi wa hivi vyama watakuja soon na matusi humu, ni wagumu sana kuelewa, na ndiomaana hawanaga hoja zaid ya matusi,

Nilianza kuzichukia siasa hasa za upande wa upinzani pale nilivyoona hawa wanaojiita wanademokrasia wanapenda kuhubiri demokrasia na uhuru wa maoni ilihali ktk vyama vyao hakuna demokrasia wala uhuru wa maoni, that's why ukienda kinyume kimaoni na hawa watu utapigwa matusi kuwa umesaliti ama umehongwa pesa na ccm, kumbe ni maoni tu.

Wao ktk hiv vyama hawaamini ktk kufikiri tofauti na agenda za mwenyekiti wao, yaan , unakuta wamejazana ujinga kumuita fulani dicteta na wakati huo dicteta yupo ktk chama chao akiwaongoza bila kuwaachia wengine uongozi.

Dunian hakuna demokrasia, napinga hata huko mnakokuita kwa baba yenu wa demokrasia USA huyo ndie mpuuzi namba moja, anatumia sheria zake kandamizi kuwashinikiza mataifa wamuige na wakati huo yeye mwenyewe ndie mvunjaji.

Mnalilia tume huru ya uchaguzi je hamuoni bwana trump kilichompata ile ndyo demokrasia?, na kilichompata clinton je? nayo ni demokrasia?.

Tujifunze kutokana na tuyaonayo badala ya kuwa bendera fuata upepo, me narudia tena, dunian hakuna demokrasia, bali kuna mawazo ya wahuni wachache wanaotunga sheria zao kandamizi na kuwahadaa walimwengu wazituafe kumbe nyuma ya pazia mnapigwa na vitu vizito kichwani.

Hii nchi kama tusingekubali upuuzi wa vyama vingi tungekuwa mbali sana maana huu muda tunapoteza kuwatusi ccm ama tunapoteza nguvu kuwaumiza wafuasi wa upinzani tungeutumia huu muda kufanya mambo ya msingi ama sivyo kufikiri njia gani za kupambania maendeleo.

Hao USA na washirika wake wanaojiita wafuata demokrasia, wao nchi zao wamejenga kwa udicteta wa kutisha sana mpka leo hii mnawaona super power, maendeleo yao hayakuja kwa kubembelezana ama kusifiana sifiana ktk siasa bali misimamo mikari na sheria kandamizi zilizoumiza wengi lkn zimejenga nchi zao mpka hivi leo, wakaamua kuunda mbinu za kudhoofisha mataifa ya Africa na Asia kiuchumi kupitia siasa za Democraticy, wakat mnapambana na demokrasia wenzenu wanapambana na uchumi, maana kwao hizo level za siasa waliisha pita zamani sana na sasa kwao demokrasia ni kivuli.

Huu ndio ukwel ambao wengi hawaupendi, lkn kama tukikubali kwa kuvunja hii mifumo kandamizi ya kisiasa basi tutafika mbali.
 
Ahsante sana
Nalog off Z
 
1. Kwa nini CCM huwa inatumia nguvu za ziada kupambana na vyama vya upinzani(hasa nyakati za uchaguzi)?

2. Uoga wa CCM kuhusu katiba mpya ni wa nini?.

Kabla ya kuandika mada lazima ufikirie kwa kina.
 
Too dilute ideas.
 
Basi kulikuwa hakuna sababu ya kumpga Lissu risasi nyingi kiasi kile kwa kutumia silaha ya kivita,mngetumia tu mshale. R.I.P Ben Saanane.
 
Inawezekana kwa asilimia 80 unayoyasema yakawa ni kweli !! Sasa naomba unijibu maswali madogo mawili tu, 1- je wewe unaridhika na hali hiyo uliyoieleza ?? 2- je unafikiri nini kifanyike ili tupate upinzani wa kweli ?!!
 
Sababu nyingine kubwa inayoitesa Africa ni Ufisadi wa viongozi wake kama alivyosema Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka ilikuwa wapi na lini aliyasema hayo akiwa kama mgeni mualikwa kwenye mkutano ule !!! Lakini aliyasema hayo akiwa ameshastaafu !!
 
Inawezekana kwa asilimia 80 unayoyasema yakawa ni kweli !! Sasa naomba unijibu maswali madogo mawili tu, 1- je wewe unaridhika na hali hiyo uliyoieleza ?? 2- je unafikiri nini kifanyike ili tupate upinzani wa kweli ?!!
Kwa upande mmoja naridhika na kwa upande mwingine siridhiki pia. Kwa sababu vyama vingi vya upinzani barani Afrika ni 'stooges' viko kutimiza maslahi ya nchi za magharibi, sio vyote, hapa mifano iko mingi sana. Hii haina maana vyama vikuu hakitumiki, ila ni vingi kwa upinzani. Na hii ni kwa sababu vyama vingi vya upinzani vimepigwa na umasikini wa hali ya juu ukilinganisha na vyama vikuu. Pia kipi kifanyike, vyama vya upinzani lazima viwe na clear agenda, na pia nadhani upinzani sio lazima kuwe na vyama, mnaweza kuwa na chama kimoja still mkapingana.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom