Tanzania hakuna pesa ndiyo maana tunazunguka kukopa mpaka Barclays? Aibu nyingine hii kwa CCM na watu wake

Nanihii alidanganya kwamba hii reli itajengwa kwa pesa zetu wenyewe.

Muda huu Serikali imewaomba Barclays Bank mkopo wa fedha ili imalizie Reli ya Standard Gaurge kuifikia nchi ya viwanda.

Leo Waziri wa Mipango Dr.Mpango ametembelea Makao Makuu ya Benki ya Barclays na kuiomba kuisaidia Serikali mkopo wa riba nafuu ili Serikali iweze kutekeleza miradi yake ya miundombinu ya Reli ya kati ya "Standard Gauge" na mradi wa umeme wa Stiglers Gorge.

Waziri Mpango ameiomba Benki hiyo kutenga kiasi cha fedha ili kuikopesha Serikali ili iweze kuijenga hiyo miradi yake ambayo inahitaji pesa nyingi ili Serikali iweze kufikia adhima yake ya nchi ya viwanda.

Swali: Inakuwaje tena Serikali inaanza kwenda kukopa kwenye mabenki binafsi na wakati tuliambiwa pesa inayojenga Reli ya Standard Gauge na ule mradi wa Stiglers Gorge ni pesa za ndani ambazo ni kodi zetu?

Je, kiuchumi kuna athari gani kukopa Benki binafsi kama Barclays? Zile taarifa kuwa miradi inajengwa kwa pesa za ndani huwa ni siasa tu?

Kwamba hakuna pesa ndiyo maana tunazunguka kukopa mpaka Barclays? Aibu nyingine hii kwa CCM na watu wake.

View attachment 688636
 
Chama, sawa, hatukatai, kinaweza kuwa na mtu au watu wawili watatu hivi, wasemaji saaana lakini ni wajinga, wajinga tu hawajui kitu, hiyo kawaida. Lakini chama kikawa na wasemaji wengi na Wote wakiwa wajinga na wakisema kitu cha kijinga kama hivi na asitokee MTU akamwambia, 'wewe ndugu yangu sawa, lakini hapa umesema ujinga, hujui hili, huna maarifa katika hili". Badala yake wamuunge mkono katika ujinga aliousema, basi chama hicho kitakuwa sio cha manyumbu tu, Bali kitakuwa chama cha manyumbu mbumbumbu! Maana angalau porini kuna manyumbu wenye afadhali.
 
Mbona hawaendi kukopa BOT tuliambiwa juzi na Dr.Beno Ndulu kuna mi dolla huko ya kumwaga.
 
Kama ukienda kwy benki zetu hutaona akina Bakhresa na MO. ndio wakopaji wakubwa basi ujue benki zimedanganya...

Wandugu Serikali ya America na ya Japan zimekopa ambapo ulinganisho na GDP yao ni zaidi ya 100%

Backeys au Standard bank zikikukopesha maana yake zinaamini uko vizuri...

Bank yoyote hapa Tanzania zinatamani TBL, Bakheresa, MO wawe wateja wao na wakope.

Ni maskini tu, na maskini ambaye hajaenda shule anaona kukopa ni tatizo
 
Muda huu Serikali imewaomba Barclays Bank mkopo wa fedha ili imalizie Reli ya Standard Gaurge kuifikia nchi ya viwanda.

Leo Waziri wa Mipango Dr.Mpango ametembelea Makao Makuu ya Benki ya Barclays na kuiomba kuisaidia Serikali mkopo wa riba nafuu ili Serikali iweze kutekeleza miradi yake ya miundombinu ya Reli ya kati ya "Standard Gauge" na mradi wa umeme wa Stiglers Gorge.

Waziri Mpango ameiomba Benki hiyo kutenga kiasi cha fedha ili kuikopesha Serikali ili iweze kuijenga hiyo miradi yake ambayo inahitaji pesa nyingi ili Serikali iweze kufikia adhima yake ya nchi ya viwanda.

Swali: Inakuwaje tena Serikali inaanza kwenda kukopa kwenye mabenki binafsi na wakati tuliambiwa pesa inayojenga Reli ya Standard Gauge na ule mradi wa Stiglers Gorge ni pesa za ndani ambazo ni kodi zetu?

Je, kiuchumi kuna athari gani kukopa Benki binafsi kama Barclays? Zile taarifa kuwa miradi inajengwa kwa pesa za ndani huwa ni siasa tu?

Kwamba hakuna pesa ndiyo maana tunazunguka kukopa mpaka Barclays? Aibu nyingine hii kwa CCM na watu wake.

View attachment 688636
Kukopa ni aibu ya ccm au taxable capacity ya Tanzania.
 
Mkopo ni mkopo tu uwe wa ndani au nje ukope kwa mzungu au mweusi wewe umekopa tu, lakini si ulisema unazo za kwako?
 
Hiv mkikopa hela na ukazilipa kwa fedha za ndan kuna tofauti ipi hapo kwba tunajemga kwa fedha zetu
Tofauti ya fedha zetu na kukopa ni kuwa pesa yako ni ile uliyokusanya kupitia kodi na mapato mbalimbali na unazipeleka moja kwa moja kwenye mradi.Gharama ya mradi inakuwa ile ile na haiongezeki tofauti ya kukopa ni kuwa unaongeza gharama ya mradi kwa kulipia interest rates na increments nyingine za mtoaji mkopo kwa mantiki hiyo gharama inaongezeka
 
Mleta uzi ni bora ungekaa kimya kwa kuwa umedhihirisha kuwa wewe ni mbumbumbu wa uchumi. Kutoa mikopo ndio shughuli kuu na mikopo ndio bidhaa kuu za mabenki na taasisi za fedha duniani kote. Aidha unatakiwa kufahamu kuwa ukisha kukopa hicho kiasi ulichokopa kinakuwa pesa yako, siyo pesa ya benki. Kwa hiyo serikali kusema tunajenga miundombinu kwa pesa zeu wenyewe ni kauli sahihi kabisa.
Hii sio kweli, wewe acha porojo. Pesa yako ni ile ambayo hauna liability nayo. Hakuna anayekuvuta shati kukudai wala huitaji dhamana yoyote kuipata.
 
Back
Top Bottom