Halafu makazi yake yapo meters chache kabisa toka hapo hospitali, lakini huu mwaka wa nne utasikia mara kavamia hazina, mara kaibukia ferry analangua samaki!! yaani sina la kusema kwa kweli!!
Habarini waungwana.
Huwa kila baada ya miezi mitatu ninaenda pale hospitali inayohusika na wagonjwa wa SARATANI (CANCER) kwa ajili ya kuwajulia hali wagonjwa na kuwatia moyo.
Hakika kila ninapotoka pale mahali huwa najiona kama nimetoka mazingira mengine tofauti na dunia hii.
Kuna wagonjwa wanaishi kwenye mazingira magaumu sana.
NAWAASA KILA MWENYE UWEZO APITE PALE MAHALI ANGALAU TU KUWATIA MOYO WAGONJWA WALE.

Mitume hawa hawa waliojazana Dar peke ake au kuna wengine?Hivi hawa mitume na manabii waoombea watu wakapona, wanapajua pale?
Sijui kwanini huwa hawataki kabisa kwenda paleHivi hawa mitume na manabii waoombea watu wakapona, wanapajua pale?