Tanzania hakuna chama cha upinzani chenye sifa za kuwa chama cha upinzani

Paskali hawa wabunge 35 waliingia kwa kutumia nguvu nyingi, na CCM waliona aibu, lakini vile vile ni kama waliifanya ku "authorize" hao 35 kwa kuwa bwana dhaifu alikuwa kidogo mwelewaji, lakini huyu, hata "authorize" hata mmoja.
Halafu ati unategemea mwaka huu kuna uchaguzi?? Na corona hii hapa, mkuu anategemea mabavu au corona imsaidie.
read his mind!
Mkuu Interested observer, hili niniliona siku nyingi na nikashauri humu toka ile November 2015
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
 
Ni wizi na ufisadi mtindo mmoja hadi CAG anaonekana ni adui wa Serikali anaondolewa KINYEMELA na huyo mpya ANATISHWA hadharani na maeneo mengine ya matumizi ya Serikali kulikojaa wizi na ufisadi HARUHUSIWI kukagua kinyume na sheria za Nchi.
Umaskini wa Tanzania unasbabishwa na sera mbovu za CCM, haiitaji PHD ya korosho kutambua hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.

Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.

Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.

Nimtazamo wangu tu.
Anzisha chama tukuone
 
Kujitoa ufahamu kiasi hiki kwa sababu tu ya kutafuta TEUZI baada ya maisha kukupiga na kile kibiashara chako kuanguka chali ndiyo sababu kubwa ya wahuni wa ccm kuichezea Nchi yetu kwa muda mrefu.

Utasikia mkitaka Maendeleo hamieni ccm au hatupeleki Maendeleo majimbo ya wapinzani lakini kwa sababu ya njaa zako unajitoa ufahamu.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer! - JamiiForums

Serikali yote inateuliwa na huyo huyo, mbona waote tunapata huduma zote za serikali au za umma?, umaishawahi kutaka huduma yoyote ya umma, ukaulizwa wewe ni chama gani na baada ya kuwaambia wewe ni mpinzani, ukanyimwa huduma kwa sababu ni mpinzani?!.

Mahakama yote inateuliwa na yeye, kila siku Chadema wanakimbilia mahakamani kudai haki zao, kama mahakama ni huru na yote inateuliwa na mtu yule yule, why NEC isiwe huku kwa kuteuliwa na mtu yule yule?!.

Ama kweli mkataa pema, pabaya panamwita!, ndani ya Bunge kuna wabunge zaidi ya 100 wa upinzani waliotokana na tume hii hii ambayo sio huru, kati ya hou, Chadema ina wabunge 35 wa kuchaguliwa majimboni, bila kuwahesabu wale wa viti maalum ambao waliteuliwa baada ya ..., sasa tusubiri matokeo ya mwaka huu, halafu tutakuta humu humu tukumbushane!

Lile katazo la kufanya siasa, lengo lake ni zuri, baada ya uchaguzi watu wafanye kazi na sio kukalia siasa, huu ni mwaka wa uchaguzi, June kipenga kinapulizwa, ila very unfortunately, this time around, kinyozi yuko standby kuwanyoa vipara watu fulani, hivyo baada ya October, hizi kelele zote zitakwisha!.

P
 
Kujitoa ufahamu kiasi hiki kwa sababu tu ya kutafuta TEUZI baada ya maisha kukupiga na kile kibiashara chako kuanguka chali ndiyo sababu kubwa ya wahuni wa ccm kuichezea Nchi yetu kwa muda mrefu.

Utasikia mkitaka Maendeleo hamieni ccm au hatupeleki Maendeleo majimbo ya wapinzani lakini kwa sababu ya njaa zako unajitoa ufahamu.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer! - JamiiForums
Usiumize kichwa kwa pasco, mtu hana commitment kama mwanaume kila siku kujipendeza upate teuzi, anajivua sifa alizopewa na Mungu kumuumba mwanaume, dah hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hata ccm ni chama cha Magufuli. Ametamka mwenyewe. Kwa hiyo ina maana hatuhitaji vyama tujitawale tu kama watanzania????
 
Kujitoa ufahamu kiasi hiki kwa sababu tu ya kutafuta TEUZI baada ya maisha kukupiga na kile kibiashara chako kuanguka chali ndiyo sababu kubwa ya wahuni wa ccm kuichezea Nchi yetu kwa muda mrefu.

Utasikia mkitaka Maendeleo hamieni ccm au hatupeleki Maendeleo majimbo ya wapinzani lakini kwa sababu ya njaa zako unajitoa ufahamu.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer! - JamiiForums
Mkuu BAK, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, japo ni kweli media imekuwa hit hard na awamu ya 5, na Covid 19 ndio imekuja kumalizia kumsukuma mlevi, mimi sijipendekezi kusaka uteuzi wala sio mtu wa praise team bali nimekuwa very objective kwa kumwangalia rais Magufuli on different perspective, badala ya ku concentrate on negativity on his weakness na madhaifu na makosa yake, sasa nafanya positive assessment kwa kuangazia his positives, his strengths na mazuri yake, nikaja kugundua rais Magufuli ni the right man kwa Tanzania hii.

Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe - JamiiForums

P
 
Your CREDIBILITY is ZERO and your REPUTATION is also ZERO just continue to chase that lucrative TEUZI. Maybe your lucky day is just around the corner.

Mkuu BAK, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, japo ni kweli media imekuwa hit hard na awamu ya 5, na Covid 19 ndio imekuja kumalizia kumsukuma mlevi, mimi sijipendekezi kusaka uteuzi wala sio mtu wa praise team bali nimekuwa very objective kwa kumwangalia rais Magufuli on different perspective, badala ya ku concentrate on negativity on his weakness na madhaifu na makosa yake, sasa nafanya positive assessment kwa kuangazia his positives, his strengths na mazuri yake, nikaja kugundua rais Magufuli ni the right man kwa Tanzania hii.

Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe - JamiiForums

P
 
Watanzania wengi wanaishi kwa matukio.Hawana akili ya kujitegemea na ndio maana hata mtoa mada leo kwa tulio la leo amepata mada.Lisingekuwa tukio angekaa kimya.Kuna shida kwenye mfumo wa elimu yetu.Tuna vilaza wengi kuliko tunavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakielewa ulichokiandika hapa!! Tafuta maana ya Contemporary issues
 
Back
Top Bottom