Tanzania haiwezi kupata mawazo chanya kutoka kwa vibaraka..

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Ni Njozi za Abunuwasi Tanzania as a Sovereign State kupata mawazo chanya au Ushauri ktk Vita ya kujikomboa Kiuchumi kutoka kwa Mazwazwa na Vibaraka wanaojiita Wanaharakati hapa ndani lakini wakifadhiliwa nje na CPC-Ujerumani, EU Parliament -Belgium, Strasbroug na CIA Marekani,

Usaliti hauanzii Mbali, Usaliti huanzia Karibu na hata kwa Ndugu wa Damu,..leo natoa Mfano mmoja tu, Miaka zaidi ya 40 baada ya Marekani kufanya Majaribio 630 ya kumuua Fidel Castro na kufeli ilifanikiwa pia kumrubuni Juanita Castro ambaye ni dada yake wa damu Fidel Castro akamsaliti kaka yake wa damu kwa makachero wa Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) ili Castro auawe, Jaribio hilo nalo Lilifeli na Junaita akakimbilia Uhamishoni huko Florida Marekani na ameishi huko kwa Maisha yake yote kwa miaka zaidi ya 40 akimtuhumu kaka yake kuwa ni "ZIMWI"

Kosa la Castro ni lipi?.....Kama vile Gaddafi Kosa la Castro ni alipoukataa ushawishi wa Marekani nchini mwake, Pale alipomudu kuleta huduma za afya za bure na kuboresha elimu..Kuunga mkono na kusaidia makundi mbalimbali ya kipiganaji katika Ukombozi wa nchi za Amerika kusini, Afrika na Asia kwa sababu tu zilikuwa mkondo mmoja na mitazamo yake ya uongozi,

Hali hii ilipelekea uvamizi Mkubwa wa kijeshi uliojulikana kama "BAY OF PIGS", na hasa pale Marekani iliposikia kwamba Castro ana Mpango wa kutengeneza silaha za kikemikali - Nyuklia.....Ndipo Shirika la Kijasusi la Marekani CIA likachukua wafungwa 1,400 wa Cuba waliokuwa Marekani na kuwapa mafunzo ya kivita ili kumwangusha Rais Fidel Castro ambapo katika Vita hiyo Marekani ilipigwa Vibaya kiasi cha kujitia aibu kubwa katika jumuiya ya Kimataifa.

Leo hapa Tanzania kuna Malofa wanakwambia kwamba "Bwana wetu Marekani kasema hapa kuna Uonevu sana, hakuna Demokrasia,tunatakiwa tuwe kama Libya na Tunisia" Jinga Kabisa.

Britannica
 
Hata ulete hoja zenye tune ya peponi haziwezi kuwafanya watu wakubaliane na haya yanayoendelea nchini,wanaoipinga serikali wangekosa nguvu kama serikali isingetumia makosa yake yenyewe kujiangika mtini!

Sote tunapenda amani na utulivu,lakini kila tusikiapo mahubiri ya amani na utulivu huku tukiendelea kushuhudia kiongozi mkuu akiruhusu mateso,dhiki na mauwaji kwa wakosoaji wake,tunabaki njia panda tukijiuliza:tafsiri ya amani ni kupambana na wale wanaojaribu kuukosoa utawala wako?

Utekaji,uteswaji,kupigwa risasi na mauwaji yanayoendelea nchini huku viongozi wetu wakitulazimisha tubaki kimya ni jambo linaloshangaza!Unipige alafu unizuie kulia?Una mamlaka ya kunipiga,lakini huna haki ya kunilazimisha niugulie maumivu kimya kimya,kulia ni haki yangu.

Acheni ukandamizaji ili nasi tuwageukie wale watakaoendelea kudai haki huku sote tukijuwa kuwa hakuna haki iliyopotea,vinginevyo ni upumbavu kutuambia mtu fulani anajiliza huku tukiwa tumeshuhudia kwa macho yetu kuwa Wewe ndiyo chanzo cha kilio chake!Upumbavu.
 
..Wacuba wana hali mbaya kiuchumi na kila siku wanawabembeleza Wamarekani wawaondolee vikwazo vya uchumi.

Huu ni upuuzi! Wewe na Wacuba ulikuwa nao lini kwenda kupiga magoti kwa Wamarekani kuondoa vikwazo? Au ulikuwa na Wamarekani wakati Wanakuja kubembeleza?

Wakati mwingine tuwe na staha kidogo kwa mataifa mengine...Kuwasingizia waziwazi mambo ambayo huna hakika nayo si busara kabisa. Ukiulizwa utoe mfano mmoja tu “Wacuba” wamebembeleza “Wamarekani” utapata shida sana kuutaja kama hutashindwa kabisa..
 
Ni Njozi za Abunuwasi Tanzania as a Sovereign State kupata mawazo chanya au Ushauri ktk Vita ya kujikomboa Kiuchumi kutoka kwa Mazwazwa na Vibaraka wanaojiita Wanaharakati hapa ndani lakini wakifadhiliwa nje na CPC-Ujerumani, EU Parliament -Belgium, Strasbroug na CIA Marekani,

Usaliti hauanzii Mbali, Usaliti huanzia Karibu na hata kwa Ndugu wa Damu,..leo natoa Mfano mmoja tu, Miaka zaidi ya 40 baada ya Marekani kufanya Majaribio 630 ya kumuua Fidel Castro na kufeli ilifanikiwa pia kumrubuni Juanita Castro ambaye ni dada yake wa damu Fidel Castro akamsaliti kaka yake wa damu kwa makachero wa Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) ili Castro auawe, Jaribio hilo nalo Lilifeli na Junaita akakimbilia Uhamishoni huko Florida Marekani na ameishi huko kwa Maisha yake yote kwa miaka zaidi ya 40 akimtuhumu kaka yake kuwa ni "ZIMWI"

Kosa la Castro ni lipi?.....Kama vile Gaddafi Kosa la Castro ni alipoukataa ushawishi wa Marekani nchini mwake, Pale alipomudu kuleta huduma za afya za bure na kuboresha elimu..Kuunga mkono na kusaidia makundi mbalimbali ya kipiganaji katika Ukombozi wa nchi za Amerika kusini, Afrika na Asia kwa sababu tu zilikuwa mkondo mmoja na mitazamo yake ya uongozi,

Hali hii ilipelekea uvamizi Mkubwa wa kijeshi uliojulikana kama "BAY OF PIGS", na hasa pale Marekani iliposikia kwamba Castro ana Mpango wa kutengeneza silaha za kikemikali - Nyuklia.....Ndipo Shirika la Kijasusi la Marekani CIA likachukua wafungwa 1,400 wa Cuba waliokuwa Marekani na kuwapa mafunzo ya kivita ili kumwangusha Rais Fidel Castro ambapo katika Vita hiyo Marekani ilipigwa Vibaya kiasi cha kujitia aibu kubwa katika jumuiya ya Kimataifa.

Leo hapa Tanzania kuna Malofa wanakwambia kwamba "Bwana wetu Marekani kasema hapa kuna Uonevu sana, hakuna Demokrasia,tunatakiwa tuwe kama Libya na Tunisia" Jinga Kabisa.

Mawazo ya Pio Pius
Siyo marekani wanatwambia cc wenyewe tunaona na kusikia, inaonekana nawewe n miongoni mwa wanufaika wa udharimu huu, ila jua tuu kuwa cyo mda mrefu, historian inakwenda kuandikwa.
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaitolea mfano libya kila siku, mbona sioni mwana lumumba aliyoitolea mfano Misri? Au hamkumbuki kwamba H. Mubarak aliondoka madarakani kwa nguvu ya wananchi + jeshi na nchi ikaendelea bila tatizo? Au jeshi nalo lilitumwa na CIA kumuondoka mubarak? Baada ya kuondolewa mbona misri haikugeuka kuwa Libya, syria au Tunisia?
 
Ni Njozi za Abunuwasi Tanzania as a Sovereign State kupata mawazo chanya au Ushauri ktk Vita ya kujikomboa Kiuchumi kutoka kwa Mazwazwa na Vibaraka wanaojiita Wanaharakati hapa ndani lakini wakifadhiliwa nje na CPC-Ujerumani, EU Parliament -Belgium, Strasbroug na CIA Marekani,

Usaliti hauanzii Mbali, Usaliti huanzia Karibu na hata kwa Ndugu wa Damu,..leo natoa Mfano mmoja tu, Miaka zaidi ya 40 baada ya Marekani kufanya Majaribio 630 ya kumuua Fidel Castro na kufeli ilifanikiwa pia kumrubuni Juanita Castro ambaye ni dada yake wa damu Fidel Castro akamsaliti kaka yake wa damu kwa makachero wa Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) ili Castro auawe, Jaribio hilo nalo Lilifeli na Junaita akakimbilia Uhamishoni huko Florida Marekani na ameishi huko kwa Maisha yake yote kwa miaka zaidi ya 40 akimtuhumu kaka yake kuwa ni "ZIMWI"

Kosa la Castro ni lipi?.....Kama vile Gaddafi Kosa la Castro ni alipoukataa ushawishi wa Marekani nchini mwake, Pale alipomudu kuleta huduma za afya za bure na kuboresha elimu..Kuunga mkono na kusaidia makundi mbalimbali ya kipiganaji katika Ukombozi wa nchi za Amerika kusini, Afrika na Asia kwa sababu tu zilikuwa mkondo mmoja na mitazamo yake ya uongozi,

Hali hii ilipelekea uvamizi Mkubwa wa kijeshi uliojulikana kama "BAY OF PIGS", na hasa pale Marekani iliposikia kwamba Castro ana Mpango wa kutengeneza silaha za kikemikali - Nyuklia.....Ndipo Shirika la Kijasusi la Marekani CIA likachukua wafungwa 1,400 wa Cuba waliokuwa Marekani na kuwapa mafunzo ya kivita ili kumwangusha Rais Fidel Castro ambapo katika Vita hiyo Marekani ilipigwa Vibaya kiasi cha kujitia aibu kubwa katika jumuiya ya Kimataifa.

Leo hapa Tanzania kuna Malofa wanakwambia kwamba "Bwana wetu Marekani kasema hapa kuna Uonevu sana, hakuna Demokrasia,tunatakiwa tuwe kama Libya na Tunisia" Jinga Kabisa.

Mawazo ya Pio Pius
Pio Pius umefumbwa macho huoni iron fist ya sijonze?mbona mnataka kutuharibia nchi kwa kutuua kila siku?
 
Manina hakika mitandao ina nguvu ya kuunganisha na kupasua umoja.

Naona tangu lipangwe la kupangwa watu wanapishana mlangoni kuwatishia raia juu ya kitakachotokea baada ya lililopangwa kutekelezwa.

Relax wazee.

Rais atazuia sherehe za muungano atasema pesa itaenda kwenye matumizi mengine.

Wakuu wa mikoa watatoa matamko ya kutotaka kusikia maandamano, rungu watakabidhiwa rpcs.

Askari wataanza kufanya mazoezi live.

Kisha show itaishia hapo.
 
Ni Njozi za Abunuwasi Tanzania as a Sovereign State kupata mawazo chanya au Ushauri ktk Vita ya kujikomboa Kiuchumi kutoka kwa Mazwazwa na Vibaraka wanaojiita Wanaharakati hapa ndani lakini wakifadhiliwa nje na CPC-Ujerumani, EU Parliament -Belgium, Strasbroug na CIA Marekani,

Usaliti hauanzii Mbali, Usaliti huanzia Karibu na hata kwa Ndugu wa Damu,..leo natoa Mfano mmoja tu, Miaka zaidi ya 40 baada ya Marekani kufanya Majaribio 630 ya kumuua Fidel Castro na kufeli ilifanikiwa pia kumrubuni Juanita Castro ambaye ni dada yake wa damu Fidel Castro akamsaliti kaka yake wa damu kwa makachero wa Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) ili Castro auawe, Jaribio hilo nalo Lilifeli na Junaita akakimbilia Uhamishoni huko Florida Marekani na ameishi huko kwa Maisha yake yote kwa miaka zaidi ya 40 akimtuhumu kaka yake kuwa ni "ZIMWI"

Kosa la Castro ni lipi?.....Kama vile Gaddafi Kosa la Castro ni alipoukataa ushawishi wa Marekani nchini mwake, Pale alipomudu kuleta huduma za afya za bure na kuboresha elimu..Kuunga mkono na kusaidia makundi mbalimbali ya kipiganaji katika Ukombozi wa nchi za Amerika kusini, Afrika na Asia kwa sababu tu zilikuwa mkondo mmoja na mitazamo yake ya uongozi,

Hali hii ilipelekea uvamizi Mkubwa wa kijeshi uliojulikana kama "BAY OF PIGS", na hasa pale Marekani iliposikia kwamba Castro ana Mpango wa kutengeneza silaha za kikemikali - Nyuklia.....Ndipo Shirika la Kijasusi la Marekani CIA likachukua wafungwa 1,400 wa Cuba waliokuwa Marekani na kuwapa mafunzo ya kivita ili kumwangusha Rais Fidel Castro ambapo katika Vita hiyo Marekani ilipigwa Vibaya kiasi cha kujitia aibu kubwa katika jumuiya ya Kimataifa.

Leo hapa Tanzania kuna Malofa wanakwambia kwamba "Bwana wetu Marekani kasema hapa kuna Uonevu sana, hakuna Demokrasia,tunatakiwa tuwe kama Libya na Tunisia" Jinga Kabisa.

Mawazo ya Pio Pius
Hivi huwa mnapata wapi mda wa kuandika ujinga mrefu hivi? . Unaambiwa maghufuli anatekeleza walokua wanayapigania na kuyasema wapinzani. Huoni tayari ameshachukua mawazo yao? Hivi brain zenu huko ndani nyie vibaraka wa watesaji mkoje
 
Ni Njozi za Abunuwasi Tanzania as a Sovereign State kupata mawazo chanya au Ushauri ktk Vita ya kujikomboa Kiuchumi kutoka kwa Mazwazwa na Vibaraka wanaojiita Wanaharakati hapa ndani lakini wakifadhiliwa nje na CPC-Ujerumani, EU Parliament -Belgium, Strasbroug na CIA Marekani,

Usaliti hauanzii Mbali, Usaliti huanzia Karibu na hata kwa Ndugu wa Damu,..leo natoa Mfano mmoja tu, Miaka zaidi ya 40 baada ya Marekani kufanya Majaribio 630 ya kumuua Fidel Castro na kufeli ilifanikiwa pia kumrubuni Juanita Castro ambaye ni dada yake wa damu Fidel Castro akamsaliti kaka yake wa damu kwa makachero wa Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) ili Castro auawe, Jaribio hilo nalo Lilifeli na Junaita akakimbilia Uhamishoni huko Florida Marekani na ameishi huko kwa Maisha yake yote kwa miaka zaidi ya 40 akimtuhumu kaka yake kuwa ni "ZIMWI"

Kosa la Castro ni lipi?.....Kama vile Gaddafi Kosa la Castro ni alipoukataa ushawishi wa Marekani nchini mwake, Pale alipomudu kuleta huduma za afya za bure na kuboresha elimu..Kuunga mkono na kusaidia makundi mbalimbali ya kipiganaji katika Ukombozi wa nchi za Amerika kusini, Afrika na Asia kwa sababu tu zilikuwa mkondo mmoja na mitazamo yake ya uongozi,

Hali hii ilipelekea uvamizi Mkubwa wa kijeshi uliojulikana kama "BAY OF PIGS", na hasa pale Marekani iliposikia kwamba Castro ana Mpango wa kutengeneza silaha za kikemikali - Nyuklia.....Ndipo Shirika la Kijasusi la Marekani CIA likachukua wafungwa 1,400 wa Cuba waliokuwa Marekani na kuwapa mafunzo ya kivita ili kumwangusha Rais Fidel Castro ambapo katika Vita hiyo Marekani ilipigwa Vibaya kiasi cha kujitia aibu kubwa katika jumuiya ya Kimataifa.

Leo hapa Tanzania kuna Malofa wanakwambia kwamba "Bwana wetu Marekani kasema hapa kuna Uonevu sana, hakuna Demokrasia,tunatakiwa tuwe kama Libya na Tunisia" Jinga Kabisa.

Mawazo ya Pio Pius
Kuelekea 26/4
tutashuhudia kila aina ya Povu zinavyomwaga jinga nyie...
 
Huu ni upuuzi! Wewe na Wacuba ulikuwa nao lini kwenda kupiga magoti kwa Wamarekani kuondoa vikwazo? Au ulikuwa na Wamarekani wakati Wanakuja kubembeleza?

Wakati mwingine tuwe na staha kidogo kwa mataifa mengine...Kuwasingizia waziwazi mambo ambayo huna hakika nayo si busara kabisa. Ukiulizwa utoe mfano mmoja tu “Wacuba” wamebembeleza “Wamarekani” utapata shida sana kuutaja kama hutashindwa kabisa..

..JF siyo mahali pa kupiga propaganda za kitoto.

..Wacuba wana hali mbaya ya kiuchumi kutokana na vikwazo vya uchumi alivyowekewa na Marekani.

..Ilifika wakati wa-Cuba wanahatarisha maisha yao kwa kujaribu kuogelea au kusafiri kwa vyombo hatari vya majini ili mradi wafike pwani ya Florida, USA.

..Yote hiyo ni kutokana ugumu wa maisha, na political oppression iliyoko Cuba.

..Na wa-Cuba wanaamini Marekani akiwaondolea vikwazo vya uchumi maisha yao yataboreka.

..Tusidanganyane hapa. Cuba siyo Singapore, Hong Kong, Dubai, au Qatar. Cuba ni nchi masikini na hakuna mtu anapenda kuishi kimasikini.
 
Back
Top Bottom