Tanzania haiwezi kuendelea kiuchumi bila mbeleko?

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,501
2,000
Najiuliza Tanzania haiwezi kuendelea kiuchumi bila mbeleko?

Swali hilo la msingi linauza maswali kadhaa kuhusu:
1) bado nchi inahitaji kubebwa
2) kwa Mbeleko ya aina gani
3) Mbeleko yenye uwezo gani
3) Mbebaji ni nani
4) Uwezo wa Mbebaji
5) Hatima ya Mbebwa kijamii na kisiasa

Najiuliza katika mtizamo na dhana mpya ya "ukoloni mamboleo" kipindi hiki cha TEHAMA na biashara huria yenye ushindani wenye kila aina ya ufundi na hila.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom