Tanzania haiwezi kuanza kufuga kangaroo ili kuvutia watalii?

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,165
1,528
Za jioni wana JF?

Naangalia kipindi cha wanyama hapa naona kangaroo wanaonyeshwa na kupendeza kweli. Hivi TANAPA haiwezi kununua kangaroo wachache kutoka Australia ili tuwafuge na kupata watalii wengi wanaokuja Tanzania?

Hii itasaidia hata watalii wa ndani ambao tumekuwa tukitamani kuwaona wantama hao 'live'.

Naomba kama TANAPA au Maliasili wapo hapa watueleze kwa nini hatujawafuga hawa wanyama kwenye mbuga zetu?
 
Back
Top Bottom