Raia wenzangu tunaoendelea kusimamia na kuamini maono ya Hayati Magufuli tusiwe wanyonge

Zakamwamoba

Senior Member
Jul 28, 2016
177
609
Wale raia wenzangu wazalendo tunaoitwa MATAGA kwa kuendelea kusimamia na kuamini maono ya hayati JPM tusiwe wanyonge.

Hiki ni kipindi cha mpito, acheni wabwatuke lakini muda si mrefu ukweli watajua nani ni mzalendo hasa wa nchi hii.

Yataibuka mambo mengi lengo ni kuharibu taaswira ya hayati, Kikubwa MATAGA wenzangu huu ni wakati wa kuonesha misimamo na kipindi hiki wasaliti wengi watajitokeza.

RIP JPM
 
Wale raia wenzangu wazalendo tunaoitwa MATAGA kwa kuendelea kusimamia na kuamini maono ya hayati JPM tusiwe wanyonge.

Hiki ni kipindi cha mpito ,acheni wabwatuke lakini muda si mrefu ukweli wataujua nani ni mzalendo hasa wa nchi hii.

Yataibuka mambo mengi lengo ni kuharibu taaswira ya hayati,Kikubwa MATAGA wenzangu huu ni wakati wa kuonesha misimamo na kipindi hiki wasaliti wengi watajitokeza.

RIP JPM
IMG-20210409-WA0016.jpg
 
Mataga tupo sana tu hakuna hata noma. Ukiweka mguu tunafyeka. Tulisleteane shobo kabisa
 
Wakati huo tujiulize, zile hela alizokuwa anatembea nazo na kugawa huko njiani zilitoka wapi?
Na sisi kuamua kushabukia lile jambo tulikuwa tunatumia akili gani?


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom