CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,782
Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu.
Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things.
Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk.
Watu hulalamika kuhusu Mahakama, Bunge, Serikali, n.k.
Watu wengi zaidi humlalamikia Mama wa watu Rais Samia na kumtwisha kila mzigo kuhusu mengi kwenye nchi hii, lakini ukweli ni huu hapa:
Tanzania kama Tanzania haina uzoefu qa kuwa nchi. Soma historia with open minds utaelewa hili.
J. K. Nyerere ndio rais wa Kwanza TANZANIA, ndio Waziri Mkuu wa Kwanza TANZANIA. Namaanisha kabla ya Nyerere Tanzania haikuwa na uzoefu wowote ule wa kuwa nchi huru, bali muda wote lilikuwa koloni tu.
Nawakumbusha tu Mama Maria na wake wengine wa viongozi founders wa Tanzania bado wapo hai hadi sasa hiki ni kiashiria tosha kwamba bado Tanzania ni changa haina uzoefu wa kuwa nchi.
Nyerere aliiga kila kitu maana hana ajualo. Mfumo wa uchumi, mfumo wa elimu, mfumo wa kisiasa, mfumo wa ulinzi wa Taifa, mfumo wa Jeshi la Polisi, yaani kila kitu maana hana ajualo.
Kwa kifupi yeye kupewa hajui nini atafanya zaidi zaidi ni kufuata mkumbo wengine wanafanyaje maana yeye ndo Kiongozi wa juu wa Kwanza kwenye nchi.
Miaka ya 1978/1979/1980 na kuendelea kidogo Mzee Baba aizamishe nchi kiuchumi maana ndo hivyo tena vita tunapigana hatuna uzoefu na mambo hayaendi ki ujumla. Tanzania haina uzoefu na mambo hayo.
Akaja Mwinyi. Akafanya anavyojua huku Nyerere akimnanga mara kwa mara lakini ndio hivyo naye anafanya ajualo maana uzoefu wa ki nchi kuwa nchi bado ni mdogo sana. Akapita na ruksa yake mambo yakaendelea.
Akaja mkapa akaunda taasisi kibao kama unavyoziona akina TRA n.k. Akaona isiwe ishu akabinafsisha ajuavyo naye akapita miaka yake 10. Bado TANZANIA haina uzoefu wa kuwa nchi.
Akaja J. M. Kikwete. Naye akaendelea kufanya ajuavyo kwa aonavyo yeye. Lkn bado TANZANIA haina uzoefu wa kuwa nchi.
Akaja JPM naye akafanya ajuavyo. Bado TANZANIA haina uzoefu wa kuwa nchi.
Now, tupo na Rais Samia zigo lote kwake. Lakini bado TANZANIA haina uzoefu wa kuwa nchi.
Ukitazama toka Nyerere hadi Rais Samia utaona kitu kimoja kinamis. Hiki hapa: TANZANIA ni nini?
Niwakumbushe kidogo. Kwa wale wanaopenda kufuatilia film za USA kuna kamsemo wanasemaga 'This is America' yaani dizain km they have their own ways of doing matters kwa namna ya kujisifu. Zaidiiiiiiiiii wao wana kitu huita 'American Dream' na hiki ndiko haswa Tanzania haina.
Tanzania haina 'Tanzania Dream' bali kila ajaye hufanya aonavyo. Why? B'se TANZANIA haina uzoefu wa kuwa nchi. Unadhani ni kwanini? Ni kwa sababu ya mlolongo wa vitu vidogo vidogo mfano:
Kwa maneno mengine: Tanzania haina uzoefu wa chochote kile. Usije kusema tuna uzoefu wa kupigania Uhuru maana Uhuru tumepewa mezani.
Uzoefu huleta impacts, husababisha consequences ziwe positive ama negative.
YAANI UKIWA NA UZOEFU UNAKUWA UNAJUA NIKIFANYA HIVI KITATOKEA HIKI AMA HAKITATOKEA KILE; NA NISIPOFANYA HIKI KITATOKEA KILE AMA HAKITATOKEA KILE. NIKIKWAMA KUFANYA HIKI, NAJARIBU ROUTE HII NA ILE HADI NAFANIKISHA. HUU NDIO UZOEFU. LAKINI HAPA NAZUNGUMZIA KATIKA LEVEL YA KI NCHI.
Kwa mfano Magufuli alikuwa akizungumzia sana uchumi viwanda. Na asichojua ni kwamba viwanda ni uchumi wa wazungu toka miaka ya 188.. na wamechapana hasa sababu ya viwanda. Mwishowe hakuna viwanda Tanzania kama ilivyopigwa promo.
Kwa mfano: Kwa sasa wamachinga wanaondolewa barabarani, kimsingi ni Jambo jema. Lkn hv kuna mtu amewahi kufikiria nini kimesababisha ongezeko la machinga kiasi hiki?
Nionavyo mimi ni kwamba: Hili la machinga ni indication ya wazi kabisa kuwa muelekeo wa uchumi wa kitaifa upo in a very wrong direction. Maana tunaumba Taifa la wachuuzi wa bidhaa feki za wachina.
Kwa nini imekuwa hv? Ni kwa sababu hatuna a 'TANZANIA DREAM' ambayo ipo very clear kwa kila mtanzania kiasi kwamba yeyote awe Kiongozi ama raia atakayehujumu harakati za 'Tanzania Dream' basi huyo halali yetu.
Kuna mtu atasema Tanzania Dream ni kuondoa Ujinga, Maradhi na Umaskini.
Mm nadhani ujinga - tuna shule kila Kona na vyuo kila Kona na internet juu hahahhaah hivyo ujinga is no more.
Maradhi - Hospitals kila pahala, Watalaam kila kona. Tena siku hz tunavuka bahari kwenda kutibiwa huko. Hivyo hili sio ishu tena.
Umaskini - Yeah huyu ni adui. Lkn ili kumuondoa huyu tunahitaji Kwanza kuondoa Uoga na Upumbavu. Trust me chanzo kikuu cha umaskini ni uoga, Uvivu na Upumbavu.
Kwangu mie naona kwa sasa maadui wakubwa wa Taifa letu ni: Uoga, Uvivu na Upumbavu hahahahahaha.
Uoga simaanishi kwenye mambo ya siasa bali kwenye kupambana kujikomboa kifikra, kimapato, nk. Uvivu hii ipo very clear. Upumbavu ni kuacha ku deal na nonsenses badala yake tu deal na masuala yenye tija zaidi. Kuna Semina moja niliwahi kuhudhuria Shigongo anafundisha. Nakumbuka aliasa kwamba hili ni Taifa la masikharamasikhara. Kuna mtu anabisha?
Nini kitakuja kuwaondoa CCM madarakani? Wala sio CHADEMA ama chama chochote cha kisiasa, bali ni:
(AJIRA NA HALI NGUMU YA MAISHA)
Kadri kundi la wasio na ajira wanavyozidi kuongezeka; na kadri kundi la wenye ugumu wa maisha linavyozidi kuongezeka ndivyo CCM inavyozidi kuwa na hali ngumu kisiasa.
Nauliza 'TANZANIA DREAM' ni ipi?
Kumradhi: Sijui nimeandika nini, ila nimejikuta nimeandika tu. Lkn naomba msamaha kwa kila mmoja kama nimewakwaza baadhi.

- Raia hawana uzoefu wa kuwa raia
- Viongozi hawana uzoefu wa kuwa viongozi
- Tanzania haina uzoefu wa kunyima haki raia
- Tanzania haina uzoefu wa kuwapa haki raia
- Tanzania haina uzoefu wa kuharibu mfumo wa siasa
- Tanzania haina uzoefu wa kuimarisha mfumo wa siasa
- Tanzania haina uzoefu wa wananchi wake kukosa ajira
- Tanzania haina uzoefu wa masuala ya uchumi na biashara
- Tanzania haina uzoefu wa kutoingilia mihimili mingine
- Tanzania haina uzoefu wa kuingilia mihimili mingine
- Tanzania haina uzoefu wa kuharibu mifumo ya elimu
- Tanzania haina uzoefu wa kuwa maskini
- Tanzania haina uzoefu wa kuwa tajiri
- Tanzania haina uzoefu wa kuwa high performance kwenye masuala mbalimbali