Tanzania haina udhuru kuwa maskini; haielewi - Balozi wa Ujerumani

CHADEMA ndo tatizo kuwajaza watu kama wewe ujinga huo
CHADEMA kina miaka 20 tangu kiundwe na TANZANIA ina miaka mingapi?.
Kwani CHADEMA ina uhusiano gani na kukua kwa uchumi TZ? maana haitekelezi, wala kusimamia sera yoyote kichama kuhusu uchumi, hata inaposhauri inapuuzwa!.
 
QUOTE=Yo Yo;4427475]
kikwete+cheu.jpg

dole tupu bila ukucha[/QUOTE]

Kweli sishangai umaskini huu kama huyo presidaa kashindwa kugundua hapo amnt in words is not the same na amount in figures na anapiga dole,ama kweli tutaendelea na umaskini huu kwa presidaa kama huyu.
 
Is the system of governance a problem or we have been cursed?
ulipaswa kuandika angalau "Why is Tanzania still a poor Country, when It has abundant resources" lakini hivyo ulivyoandika ni ngumu kuelewa unamaanisha nini haswa? labda ungetafsiri kiswahili unamaanisha nini haswa?
 
"nchi zote zilizoendelea ni kuwa wamefikiria kwa kutumia AKILI na ndio wakaanza kwenda mbele".

najishawishi na kukataa kuwa vichwa 50m vya waTZ vinaweza kuhalalisha hiyo statement kwa kusema kuwa hatuna akili!!! Maana na hao viongozi wanawekwa madarakani na watu either kwa amani au vita baada ya kufikiri na kutafakari!!!
 
CHADEMA ndo tatizo kuwajaza watu kama wewe ujinga huo

Unajua ndugu nilisoma thread inayohusu kupitishwa uchimbaji wa uranium eneo la mbuga selous nikajiuliza hivi kwa nini tuna resource zote hizi lakin hatuendelei wakati kuna nchi zinategemea uvuvi tu lakini wameendelea embu ondoa uchama maana CHADEMA inahusika vipi wakati vitu vina onekana wazi wazi tafakari kama raia wa tanzania
 
ulipaswa kuandika angalau "Why is Tanzania still a poor Country, when It has abundant resources" lakini hivyo ulivyoandika ni ngumu kuelewa unamaanisha nini haswa? labda ungetafsiri kiswahili unamaanisha nini haswa?

Asante kwa kunirekebisha ila nilichokua namaanisha ni kwamba kwann tanzania bado masikini wakati tuna mali asili nyingi?
 
Bado hatuna sera ambazo zitageuza maliasili zetu ziwe za manufaa kwa nchi yetu. Wanaofaidika na utajiri wa Tanzania ni wageni.
 
Bado hatuna sera ambazo zitageuza maliasili zetu ziwe za manufaa kwa nchi yetu. Wanaofaidika na utajiri wa Tanzania ni wageni.

Hii siyo kweli. Kuna watanzania wengi wanafaidika na maliasili zetu.
 
Sikubaliani na kichwa cha mjadala huu kwanza. Tanzania siyo poorest country na wala sijawahi kusoma takwimu za aina yoyote zinazosema sisi ndiyo taifa masikini kuliko yote. Bongo siku hizi ni neema tupu. Ukiwa na elimu nzuri halafu unajuwa kuchakalika basi utaishi maisha mazuri kuliko hata watu wengi walioko Ulaya au hata Marekani. Huu ndiyo ukweli.
 
Kaangalie hospitali zetu na shule ndio usema hivyo. Quality of life inaanzia hapo. Watu wanakula vizuri, wanasoma vizuri na wanapata matibabu mazuri.
 
Back
Top Bottom