Bombardear
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 241
- 193
Kutokana na machafuko yanayoendelea Afrika Kusini nimeona baadhi ya mataifa mbalimbali yanavyoishutumu Afrika ya Kusini kwa ubaguzi wizi na uporaji na hivyo kutishia baadhi ya raia wa kigeni kuingia Nchini humo.
Nimeona Raisi mwenye akili nyingi na anaehhurumia wananchi wake akituma ndege 4 kwa ajili ya kuwatoa raia wake wanaoishi humo.Napia kafunga balozi zake katika miji ya Johanesburg na pretoria mpaka hali itakapokuwa sawa.
Swali ninalojiuliza hivi Tanzania haikuwa na Raia wanaoishi Afrika ya kusini?! Maanake Ndege jana imerudi tupu huku mawakili na baaadhi ya viongozi wakipiga selfie za kutosha. Kuna baadhi ya mazezeta wa lumumba wanadai na wameshaanza kuitetea serikali eti watanzania wengi wanaoishi Afrika ya kusini wengi ni vibaka na majizi!?
Je haya ni ya kweli ?! Au ndo mtindo ukitaka kumuua paka mpe majina mabaya?! Serikali ijali watu wake kama Rais mwenye akili Wa Nigeria