Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

Upendo bila mipango thabiti ya kiuchumi hauwezi kutufanya tuitwe developed country
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Upendo ni Nini?.
Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kuna aina nyingi za upendo, kuna upendo wa love, loving, like, devotion, emotional, physical, spiritual, agape, etc, kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni kuuliza ni upendo katika nini, kila mtu atakuja na jibu lake, kwa mkiulima wa korosho, kwa mfanya biashara, kwa wagonjwa, kwa wana CCM, wapinzania, wanafunzi wa kike wanaopata mimba kwa kubakwa, waandishi wa habari, etc, kila mmoja upendo kwake ni tofauti na kwa mwingine, vox pop za kipindi changu, zitakuwa ni vox pop zenye maswali kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu kama huu wa kusalimiwa na rais, ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.
 
Muda fulani muwe mnaona hata aibu.
 
Nimemtafuta paschal sjampata kwenye comment hata 1,namuona tu kwenye Likes ...Kaa kimya hvyo hvyo brother huu uzi umejaa ma morani...Jibu uwape Point.
 
Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli"- Huu ni Ukweli Kab, Tumuombee Upendo Huu Uenee Kote TZ.... ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..
Anawapenda sana Watanzania wanaotekwa
Anawapenda sana Watanzania wanaoteswa.
Anawapenda sana Watanzania wanaopotezwa,
Anawapenda sana Watanzania wanaomiminiwa risasi
Anawapenda sana Watanzania wanaookotwa kwenye viroba
Anawapenda sana Watanzania...ni kweli, ni upendo mkubwa haujapata kutokea!
 
Kwa hofu ambayo Magufuli amepandikiza kwa watanzania na kundi lake la watu wasiojulikana, Tundu Lissu tu ndio anaweza kuhojiwa na kusema hamkubali Magufuli. Ila ukitaka kujua kweli Magufuli anakubalika na hata yeye anaamini hilo, angalia matendo ya hujuma yanayoendelea kwenye box la kura.
 
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Upendo ni Nini?.
Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kuna aina nyingi za upendo, kuna upendo wa love, loving, like, devotion, emotional, physical, spiritual, agape, etc, kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni kuuliza ni upendo katika nini, kila mtu atakuja na jibu lake, kwa mkiulima wa korosho, kwa mfanya biashara, kwa wagonjwa, kwa wana CCM, wapinzania, wanafunzi wa kike wanaopata mimba kwa kubakwa, waandishi wa habari, etc, kila mmoja upendo kwake ni tofauti na kwa mwingine, vox pop za kipindi changu, zitakuwa ni vox pop zenye maswali kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu kama huu wa kusalimiwa na rais, ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.

sio bure msukuma wewe, unatafuta ukuu wa wilaya au Uded
 
"Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile."
=====

Hapa ndio nimeona ujumbe wako, huko kwingine kote ulikuwa unazinguka tu...

Maana yako ni kwamba Ngosha anashangiliwa na watu wa kwao sababu ni mtu wa kwao... hivyo kushangiliwa Chato isichukuliwe Tanzania nzima inamshangilia.
 
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Upendo ni Nini?.
Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kuna aina nyingi za upendo, kuna upendo wa love, loving, like, devotion, emotional, physical, spiritual, agape, etc, kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni kuuliza ni upendo katika nini, kila mtu atakuja na jibu lake, kwa mkiulima wa korosho, kwa mfanya biashara, kwa wagonjwa, kwa wana CCM, wapinzania, wanafunzi wa kike wanaopata mimba kwa kubakwa, waandishi wa habari, etc, kila mmoja upendo kwake ni tofauti na kwa mwingine, vox pop za kipindi changu, zitakuwa ni vox pop zenye maswali kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu kama huu wa kusalimiwa na rais, ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.

Idd Amin alikuwa anagawa hela kama huyu. Matendo yake ni yale yala ya madikiteita.
 
BAK msome between the lines utamuelewa sanaaaa huyu mtu.
Kwenye Hili kawa very nutro na nafikir alilenga the opposite of what he has written ila saying it openly anaogopea kitimoto Cha idodomya
Hata mimi ukipita Simba Road pale Mlimani na ukakutana na hommies wangu wanaonifahamu,ukiwauliza kuhusu mimi watakwambia "residentura ni malaika".
Mwenzetu.
Kabila letu.
Wa nyumbani.
Dini yetu.
Nimesoma naye.
Mwalimu wangu.
Mwanafunzi wangu.
Ukienda kuuliza watu wa pale Survey,ARU na Mlalakuwa kuhusu malaika mimi,watakwambia tofauti kabisa na wale wa Simba Road.
 
Unaweza kwenda mahali pengine ambapo limefanyika jambo tofauti na hilo. Je wananchi wakisema tifauti hii ndiyo hali halisi?
Hapo raisi alishuka akawasalimia na kutoa zawadi, je asingeshuka au au angewagombeza mfano wana njaa awaabie serikali yangu haigawi chakula. Je, maoni ni yale yale na ndio hali halisi.
Hii haiwezi kuthibitisha na kuwa conclusion kwa sababu maoni yametokana na tukio moja na kila tukio lina maoni tofauti. Mfano waliobomolewa, nk
 
Anawapenda sana Watanzania wanaotekwa
Anawapenda sana Watanzania wanaoteswa.
Anawapenda sana Watanzania wanaopotezwa,
Anawapenda sana Watanzania wanaomiminiwa risasi
Anawapenda sana Watanzania wanaookotwa kwenye viroba
Anawapenda sana Watanzania...ni kweli, ni upendo mkubwa haujapata kutokea!

Na huo ndo upendo Halisi wa Magufuli...
 
Upendo!!wabunge wa ccm wanataka kwenda kumuona mwanakamati mwenzao aliekuwa gerezani wanaitwa wasaliti.upendo Mbunge anapigwa risasi mchana kweupe watu wanaotaka kwenda kuona wanazuiliwa mfano Nyarandu.upendo watu wanaomkosoa anawatisha ,watu wanatekwa ,acheni unafiki.anaigiza upendo.kama hata mkewe anasema jamaa ni katili.
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom