Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Upendo ni Nini?.
Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kuna aina nyingi za upendo, kuna upendo wa love, loving, like, devotion, emotional, physical, spiritual, agape, etc, kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni kuuliza ni upendo katika nini, kila mtu atakuja na jibu lake, kwa mkiulima wa korosho, kwa mfanya biashara, kwa wagonjwa, kwa wana CCM, wapinzania, wanafunzi wa kike wanaopata mimba kwa kubakwa, waandishi wa habari, etc, kila mmoja upendo kwake ni tofauti na kwa mwingine, vox pop za kipindi changu, zitakuwa ni vox pop zenye maswali kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu kama huu wa kusalimiwa na rais, ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.

Pascal Mayalla vyama vya upinzani viko vingi... kwanini unaitaja chadema tu✌ nakukumbusha tu UTEUZI UMEISHA endeleeni kupongeza JIWE
1152366
 
Leo ndio siku yako ya kutoa sauti ya maamuzi, kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, nenda kapige kura ili tuisikie sauti yako na kuikubali chaguo lako ndio chaguo la Mungu.
P
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali

Nahene bhabha
 
Mwenyezi Mungu Mkubwa, Samia abadili mwelekeo ili kuiondoa hii chuki ya kutisha aliyoipandikiza jiwe katika jamii yetu kwa kipindi kifupi sana vinginevyo nchi itamshinda na kuwa chanzo cha machafuko ya kutisha.
Imekula kwake
Ukabila uliwaponza wengi humu
MM sijui yu hali gani
Eti Upendo mwingi
Mwalimu aliipenda Tz na watu wake hakuna wa kufanana naye waliobaki wote ni maigizo
Tumuogope Mungu
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
Raha ya milele apewe kama alivyompa Tundu Lissu. Amina.

Mwanga wa milele aangaziwe Kama alivyomuangazia Ben Rabiu.
 
Back
Top Bottom