Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

Thanks but thanks to google it was so fast. Enjoy reading.

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kufanikiwa kukuza uchumi wa nchi yetu na kuifanya, Tanzania ya Viwanda kufanikiwa, Tanzania ya uchumi wa gesi, Tanzania ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali

Kwa muda wako kaka
 
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Upendo ni Nini?.
Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kuna aina nyingi za upendo, kuna upendo wa love, loving, like, devotion, emotional, physical, spiritual, agape, etc, kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni kuuliza ni upendo katika nini, kila mtu atakuja na jibu lake, kwa mkiulima wa korosho, kwa mfanya biashara, kwa wagonjwa, kwa wana CCM, wapinzania, wanafunzi wa kike wanaopata mimba kwa kubakwa, waandishi wa habari, etc, kila mmoja upendo kwake ni tofauti na kwa mwingine, vox pop za kipindi changu, zitakuwa ni vox pop zenye maswali kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu kama huu wa kusalimiwa na rais, ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.

Mungu awarehemu.
 
As usual...

Paskali is on his knees providing lip service to the regime!

Naona una sanitize na deodorizing the regime!

No matter how much you shine shit always will be shit!

Goddamn,it feels miserable to be Paskali!
 
Wacha kudanganya watu wewe.
Tunaamini kila rais aliyepita alikuwa na mapenzi na watanzania.
 
1151344
 
Kuna kipindi Magufuri alisema Mayalla kwa kisukuma ni njaa labda alimpatia chakula akashiba sasa kavimbiwa anabeua tu!!!!
 
"Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli"- Huu ni Ukweli Kab, Tumuombee Upendo Huu Uenee Kote TZ.

Mwombe radhi Hayati Mwl. Nyerere, ali risk uhai wake kwaajili ya watanzania akipigania uhuru
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom