Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!. Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni upendo katika nini kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu wa kusalimiana.

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.

Serikali yoyote ya kijinga haikosi kuwa na APOLOGISTS wake, watu wa namna hii mnafahamu kabisa hali ilivyo lkn mnajaribu kutuaminisha kuwa all is well, so very sad!
 
Mmh sidhani
What about show off?
 
Kaka Paskal! Umenena vyema kabisa mkuu !!

Ukweli hubaki na utabaki "constant " Magufuli is the best hata katika mawazo yangu!

Katika maisha siku zote huwezi kupendwa ama kutaka kila mwanadamu akutazame katika msitari ule ule. Watanzania wengi wanaopinga system na yeye Magufuli ukifuatilia kwa kina wanasumbuliwa na tatizo moja wanasaikolojia wanaliita " displacement yaani wengi wao wanahamisha hustles zao za kimaisha kwa Rais , na hili huwa tatizo la walio wengi! Licha ya mapungufu aliyonayo lakini kwangu bado ni Rais bora kabisa!

Hata kelele zinazopigwa sasahivi ukiangalia na za kipindi cha Mkapa na kikwete ni zile zile ,hakuna jipya ndo maaana wengi nawapuuza! Na wengi ukiwauliza wanaishia kulalamika tu bila kuwa na evidence , mfano nimefuatilia mahojiano ya Prf Kabudi BBC licha ya allegations nyingi za mwandishi Zuhura Yunus lakini alipoambiwa kuthibitisha allegations zake aliishia kumanga manga tu !
 
Hivi umemsoma Kati ya mistar lkn?
 
Kumuelewa paskali lazima uwe esoma literature.mada zake zinamponda jiwe ila watu hawamuelewi.paskali na zitto mada zao kule kwenye gazeti la The economist ni ushahidi tosha
 
Pascal Mayalla,

..ktk kipindi chako unatakiwa uwe LIVE.

..sasa wewe unasema umekusanya clips za wananchi wanaozungumza huoni kama tayari unakwenda kinyume na ulichoahidi kutuletea.

..mimi nakushauri wakati wa kampeni utoe nafasi sawa kwa kila upande. Uliza maswali yanayofanana kwa kila upande halafu acha wananchi waamue.
 
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!. Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni upendo katika nini kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu wa kusalimiana.

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.

Kuna tofauti ya siasa na upendo hakuna mwanasiasa ambaye hata onyesha upendo.
Upendo wa kweli tungeona kwa wapinzani wake angalia watu wanavyotekwa kila siku, wanasiasa na wasaidizi wao kupigwa risasi na hata kutekwa , waandishi wa habari je raisi upendo wake mbona hauonekani kwa hawa wote? Sijasikia akikasirika ni mpaka pale maswala tu yanayomsaidia kisiasa. Upendo wakati mbunge aliyepigwa risasi akiwa bungeni kuchukuliwa ubunge wake na yeye ananyamaza tu huo ndiyo upendo au upendo ni pale tu anapokula mahindi na watu barabarani. Upendo ambao ni wa kanda moja tu au. Bado siamini hili. Anaweza akawa na nia nzuri na nchi nakubali lakini upendo bado labda ipo siku lakini sio leo
 
Anazuga watu tu huyu ni kikaragosi cha nduli kinachotumika kumsifia. Kuna uzi wake kuhusu kampuni yake kuwa na financial difficulties hadi kupunguza wafanyakazi na pia kuhama ofisi kwa kuwa rent ilikuwa kubwa na kuhamia kwenye ofisi yenye rent ndogo.

Njaa inamsumbua sana hivyo kaamua kuongeza juhudi za kusaka teuzi.

BAK msome between the lines utamuelewa sanaaaa huyu mtu.
Kwenye Hili kawa very nutro na nafikir alilenga the opposite of what he has written ila saying it openly anaogopea kitimoto Cha idodomya
 
Anazuga watu tu huyu ni kikaragosi cha nduli kinachotumika kumsifia. Kuna uzi wake kuhusu kampuni yake kuwa na financial difficulties hadi kupunguza wafanyakazi na pia kuhama ofisi kwa kuwa rent ilikuwa kubwa na kuhamia kwenye ofisi yenye rent ndogo.

Njaa inamsumbua sana hivyo kaamua kuongeza juhudi za kusaka teuzi.
Unaitwaje Hui uzi?
This time hakuna anaye pona
 
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Upendo ni Nini?.
Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kuna aina nyingi za upendo, kuna upendo wa love, loving, like, devotion, emotional, physical, spiritual, agape, etc, kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni kuuliza ni upendo katika nini, kila mtu atakuja na jibu lake, kwa mkiulima wa korosho, kwa mfanya biashara, kwa wagonjwa, kwa wana CCM, wapinzania, wanafunzi wa kike wanaopata mimba kwa kubakwa, waandishi wa habari, etc, kila mmoja upendo kwake ni tofauti na kwa mwingine, vox pop za kipindi changu, zitakuwa ni vox pop zenye maswali kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu kama huu wa kusalimiwa na rais, ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.
Ndio maana wakamkabidhi kinyago cha Chifu Burigi Chato sababu ana upendo sana....
 
Back
Top Bottom