Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,107
- 18,323
Unajua Africa kwa jinsi ulivyo tengwa na taffic ndogo ya watu kutoka mabara mengine.. kama tungechukua risk na kufunga mipaka mwanzoni kabisa tungekua salama kabisa.
Nchi kama Tanzania kwa wagonjwa waliopo bado tuna nafasi ya kufanya vizuri kama mipaka itafungwa na hatutakuwa na haja ya kufungua watu makwao.
Maana kuwafungua watu makwao watakufa wengi kuliko hata ukiwaacha wafe kwa Corona.
Badala ya kuwaza kuweka askari kuwanyanyasa raia wakae ndani, ni kuda muaafaka kuwapeleka askri hao mipakani wakatulinde.
Tanzania bado ina nafasi kama itafajya maamuzi sasa.
Zanzibar ijitegemee, bara ijitegemee, ba baadhi ya miji kama dar, arusha etc.
Picha ni mwanaume.wa kiitalia akiwa pekee yake kwenye ibada ya mazishi ya mama yake.
Una uma sana
Sent using Jamii Forums mobile app