Sheria ya usafirishaji baharini inajulikana wazi, kama kulikua na riport ya hali ya hewa kua mbaya basi mamlaka husika zilitakiwa ziizuie meli kusafiri, hapo wahusika lazima wawajibishwe, kisheria za marine lazima meli yoyote inatakiwa iwe na chombo maalum cha kukijulisha panapokaribia kua na hali mbaya ya hewa, Hiki chombo kinaitwa GMDSS(Global marine distress safety signal)na meli haiwezi kusajiliwa bila kua na kifaa hichi,na HIKI KIFAA KINAELEZA HADI WIND SPEED,NA KM KUNA HIGH SWELL YA UREFU GANI, hata pale Bandarini port control tower lazima wanacho kifaa hiki sasa ninashangaa kusikia kua kumbe walishapata taarifa ya hali mbaya ya bahari na bado port control wameruhusu meli iendelee na safari, hata hakuna cha kujitetea hapa lazima serikali iwajibike kWANI HUU UBABAISHAJI SASA UMEZIDI!!