Tanzania Govt to table a Supplementary Budget in February 2022

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
In rare move, Tanzania government plans to table a SUPPLEMENTARY BUDGET in February 2022 to plug a huge budget hole of $1.1 billion in fiscal year 2021/22

GDP growth revised downwards to 4% in 2021 from 5.6% previous estimate

Budget deficit-GDP ratio up to 3.9% from 1.8%
 
Bajeti inayotegemea wafadhili kwa sehemu kubwa haiwezi kukosa nakisi, hasa wakati huu hizo nchi wahisani nazo mambo yao yameyumba wakipambana na effects za Corona, muhimu ningependa watuambie hizo pesa watakazoongezea hapo watazitoa wapi.
 
Bajeti ya kuwaibia watu kwenye miamala. Ina simamiwa na rais wa kwenye mawe.
Bado Mama haoni kwamba huyu jamaa ni boya. Ana endelea kumkumbatia mtu asie na vision. Ati twende Burundi.
Naona ataenda yeye kabla yetu.
 
Mapato yatokanayo na Tozo yamefikia wapi? makusanyo ya kupitia Luku?

Mrejeo wa budget umelenga kukusanya zaidi ama kurekebisha/kuboresha kilichokusanywaaa

Ila kiuhalisia kuna matukio/shughuli za taasisi za serikali zina matumizi yasiyo ya lazima
 
Mwendazake alijinasibu mzalendo, ila akaendekeza matumizi magari kifahari na misafara ya kifalme, Suluhu ni Katiba Bora, tuwe na mipango endelevu.Katika viongozi wahaliasia Mwambe na Bashe nawaheshimu Sana.
 
Budget deficit wakati kibubu kinajazwa na tozo ambayo wanyonge wanapigwa roba ya mbao, au mimi ndo sijui na uchumi pori wangu huu....
 
Budget deficit wakati kibubu kinajazwa na tozo ambayo wanyonge wanapigwa roba ya mbao, au mimi ndo sijui na uchumi pori wangu huu....
Muwe mnaona aibu basi- mnategemea nini wajati toto mlililipigia kelele na likapunguzwa kwa 30%. Kianachofuta baada ya nachinga kutolewa kwenye mitaa na kusitishwa kwa elimu bure. Kwa watoto ulionao utakosa hela ya bundle ni ndio utakuwa mwisho wapo kwenye mitandao
 
Mwendazake alijinasibu mzalendo, ila akaendekeza matumizi magari kifahari na misafara ya kifalme, Suluhu ni Katiba Bora, tuwe na mipango endelevu.Katika viongozi wahaliasia Mwambe na Bashe nawaheshimu Sana.
Wewe ni lijinga, hatukuwahi kuwa na huo mtindo kwa DKT JPM. He was a BABA.
 
Back
Top Bottom