Tanzania Govt to introduce anti Cybercrime law

Leo wapo wengine wanajiita watetezi wa uhuru wa habari; kwamba wanapinga Cybercrime Act.. wakati wengine tulionya mapema na kuonesha hili... tunaambiwa ati sisi ndio tumebadilika!
Mkuu hata uongee ukweli kiasi gani, Washabiki wa Lowassa hawawezi kukuunga mkono. ......

Ulimkataaa Mtume wao na dhana yao ya mabadiliko feki
 
Nipo njiani kuzindua T-SECURITY ambayo kila Mtanzania aliye kwenye social networks ajiandae kutambulika ID yake pasipo kutaka.

Na kiongozi mmoja mkubwa sana atazindua asipotoa huzuru!.
 
Nipo njiani kuzindua T-SECURITY ambayo kila Mtanzania aliye kwenye social networks ajiandae kutambulika ID yake pasipo kutaka.

Na kiongozi mmoja mkubwa sana atazindua asipotoa huzuru!.
Ukishaamka ndotoni uje some ulichoandika!
 
Govt to introduce anti cyber crime law
makambajanuaryict.jpg

January Makamba

The government is planning to draft a new policy on Information and Communication Technology to improve ICT sector, including curbing cyber crime.

Deputy Minister for Science and Technology January Makamba announced the plans when launching a new websecurity (E-SECURITY) created by Twiga Hosting Limited for the preclusion of cyber crime in Bagamoyo yesterday.

According Makamba, the government will provide full support to the company to ensure the country's security by unleashing all means to prevent web system from hacking attacks.

He said: "For a long time high-tech crimes, including cyber-based terrorism, espionage, computer intrusions, and major cyber frauds have prevailed in our country, therefore producing expertise in this field will help prevent online hacking."

He said there would be security guarantees for the individual, and government, and that this can be attained through standard security training to curb cyber crime.

In a quick rejoinder, the Director of Twiga Hosting Limited Jacob Urasa expressed concern over inadequate auditing in website and web applications, saying it is a problem that many Web developers are facing.

"Perhaps it is lack of standards security auditing that challenges many website holders to be hacked and therefore through this security webisite we will ensure the activities of the faceless criminals are brought under control".

Urasa said many websites and web applications are vulnerable to security threat including the government's and non- government websites.

Through establishment of standard auditing procedures, quick measure of web security would be assessed through testing Web site's authentication scheme and see how it stands the hacking attacks, he explained.

According to Urasa more than 80 per cent of web sites in Tanzania are at risk of being hacked. Standard auditing would provide the needed awareness against hacking attacks.

He mentioned lack of enough experts in the field, undermining the efforts to prevent websites and web system from hacking attacks.

The trainings in Web security for web master, IT managers, IT specialists and web developers would improve their capacity to eliminate security holes from their website and web.

This would help avoid being hacked, and in the process learn how to prevent websites and web system from hacking attacks.

SOURCE: THE GUARDIAN

My Take:


Right the General Elections of 2010 one thing was very clear - CCM would not go into another election under the same conditions it did the last one especially as far as social media and online communities are concerned.

The lessons of the Arab Spring are also clear to our rulers - ignore online media at your peril. While I acknowledge the need to update our cyber policy I believe this should not be done at the expense of freedom of association, freedom of expression, and freedom of speech. But ever more important such a policy and any legislation proceeding from it should not be at the expense of individual privacy of our people.

So my caution.. the government should tread careful.. but to activists and other stakeholders including bloggers and JF and its members beware!.. you have been officially warned.


Duh Max umeiibua wapi hii; wengine wanashangaa tunapopiga kelele.. na hili niliandika kabla ya Magufuli.. nilishasahau kabisa
 
Leo wapo wengine wanajiita watetezi wa uhuru wa habari; kwamba wanapinga Cybercrime Act.. wakati wengine tulionya mapema na kuonesha hili... tunaambiwa ati sisi ndio tumebadilika!


Mwanakijiji kubadilika kwako kupo wazi kabisa na hilo halina ubishi. Look in the mirror. Sikuhizi usipomtetea Magufuli, basi either unakaa kimya au unamgusagusa tu pasipo kumpinga wazi (kama ilivyokuwa style yako ya kukosoa huko nyuma) pale anapotamka au kutekeleza maamuzi ambayo ni kinyume na sheria, kinyume na haki za binadamu, kinyume na kanuni za utawala bora na mengine kama hayo. Ili mradi tu anafanya kile ambacho uliwahi kusema hapa ndo cha muhimu sana kwako: vita dhidi ya ufisadi.

Unashindwa kuelewa kwamba ufisadi unahusisha kukiuka sheria, kukiuka haki za binadamu au hata uongo pia. Hivi anavifanya hata yeye mwenyewe Magufuli kama ambavyo umeshuhudia vikijitokeza kwenye maamuzi yake na style yake ya uongozi. Hata watoto wadogo wanaziona inconsistencies and double standards ktk maamuzi na utendaji wake.

Bado hajafanikiwa kutudanganya kwamba kweli anapinga ufisadi wote. Kinachoonekana ni kwamba ufisadi anaoupinga ni ule wa wapinzani wake ndani na nje ya CCM. Supporters na predecessors wake wanalindwa, hata pale zinapoibuliwa tuhuma za wazi dhidi yao. It's funny anakamata watu na kuwafunga kwa kumkosoa mitandaoni na hiyo cybercrime law yake wakati yeye mwenyewe anawakashfu hata watoto wadogo wa vyuo ambao wameingizwa mkenge na hichohicho chama chake huku wakiwa hawana kosa lolote.
 
Back
Top Bottom