Tanzania Govt has bought a house for the attache' in New York for $1.3 mil

Ether

Senior Member
Mar 16, 2008
137
37
http://www.newsday.com/classifieds/real-estate/real-li-1.812034/tanzanian-mission-buys-great-neck-house-1.3103257

Orly Hollander of
Laffey Fine Homes can now add the United Republic of Tanzania to her list of buyers. She was the listing agent on a Great Neck center hall Colonial that recently sold to the Tanzanian mission for $1.26 million, according to the Long Island Real Estate Report.

How different was the experience for Hollander? She needed the U.S. Department of State to OK it. "This is the first deal I ever did where I needed the government's approval," Hollander says. She adds the home is for the family of an attaché with four children.

The home has five bedrooms, four bathrooms and an open floor plan. The master bedroom has a bath with a Jacuzzi and shower. A two-car garage is attached. The deal closed at the end of June, according to public records.

The State Department statement indicated that requiring government approval is standard practice and in accordance with the Foreign Missions Act. Any foreign mission is required to obtain the U.S. Secretary of State's approval before any acquisition, sale or disposition of real estate is completed.

The statement says there is usually no impact to a community from the presence of a diplomatic residence, and, yes, the State Department has turned down applications in the past.

By the way, the Tanzanian government will be coughing up $22,093.66 a year for property taxes (or almost 36 million Tanzanian shillings).

CHECK: See LI's best mortgage rates
LISTINGS: LI homes for sale and open houses
PHOTOS: Rich cribs on Long Island

image.JPG
 
Orly Hollander of Laffey Fine Homes can now add the United Republic of Tanzania to her list of buyers. She was the listing agent on a Great Neck center hall Colonial that recently sold to the Tanzanian mission for $1.26 million, according to the Long Island Real Estate Report.

How different was the experience for Hollander? She needed the U.S. Department of State to OK it. “This is the first deal I ever did where I needed the government’s approval,” Hollander says. She adds the home is for the family of an attaché with four children.

The home has five bedrooms, four bathrooms and an open floor plan. The master bedroom has a bath with a Jacuzzi and shower. A two-car garage is attached. The deal closed at the end of June, according to public records.

The State Department statement indicated that requiring government approval is standard practice and in accordance with the Foreign Missions Act. Any foreign mission is required to obtain the U.S. Secretary of State’s approval before any acquisition, sale or disposition of real estate is completed.

The statement says there is usually no impact to a community from the presence of a diplomatic residence, and, yes, the State Department has turned down applications in the past.

By the way, the Tanzanian government will be coughing up $22,093.66 a year for property taxes (or almost 36 million Tanzanian shillings).

CHECK: See LI's best mortgage rates
LISTINGS: LI homes for sale and open houses
PHOTOS: Rich cribs on Long Island

attachment.php

kwa sababu sie wengine hatunauwezo zaidi ya kuliombea hili taifa letu tukufu

Maana vijana wa Mwalimu washashindwa and who knows....maybe what we need now is a DIVINE INTERVENTION maana tushaandika sana, tushatoa comments sana sasa who knows labda Muumba anaweza akatuitikia maombi yetu
 
Last edited by a moderator:
Kupanga ni Kuchagua.........swali la kujiuliza ni.............tunampangia nani na tunamchagulia nani..........kwani Public Transport (UDA ikiwemo) itamsaidia nani........kwanini tuchague huko?
 
..hivi hawastahili kuwa exempted kwenye masuala ya tax??

..ninavyoelewa mimi diplomats hawalipi tax.

..sasa sijui kama hiyo nyumba ukizingatia kwamba ni ya ubalozi inatakiwa kutozwa tax.
 
Hii ya kuomba US Govmnt approval nadhani maafisa ubalozi wetu hawakuipenda kwani inawondolea uhuru wa kufanya mizengwe kama yale ya Prof. Mahalu kule Italy.
 
Hivi hakukuwa na nyumba nyengine nzuri za thamani ndogo kidogo?

Manake hiyo payback period sijui ni miaka mingapi
 
Udiplomat ndio iwe sababu ya kufuja pesa? Lakini sishangai diplomats wetu kutaka makuu, mawaziri wanaishi na familia zao hoteli, why wao wajivunge!

U got it. Kuna kitu kinaitwa "kustahili"; ukiwa katika nafasi fulani ya utumishi wa umma una "stahili" vitu fulani fulani hivi. Sasa tofauti kubwa iko tu katika kiwango cha mastahili. Katika Tanzania watu pekee wasiostahili vitu fulani fulani ni wakulima tu. Labda kwa sababu hawana nafasi ya kudai mastahili yao na hakuna kupanda vyeo kwenye kulima.
 
Hii taarifa ina walakini. I know for a fact diplomats don't pay taxes sasa tax ya hiyo nyumba ina toka wapi tena?
 
Mlitaka tuendelee kupanga? Ama kweli Watanzania hatuna jema.

Kununua nyumba maana yake hizo fedha bado ni zako, kwani ukiamua kuiuza pengine zinarudi zote na zaidi, inategemea na soko. Jee Kupangisha?

Sasa watueleze nyumba kama hiyo hapo ilipo ikiwa kupangishwa ina pangishwa kiasi gani? sio kuleta habari za upand mmoja tu.

Tanzania ilishamua siku nyingi kuwa kila itapopata wasaa itakuwa ikinunua nyumba zake za ubalozi nje, cha kushangaza ni nini?

Ni jambo jema sana la kujivunia. hapo tunauhakika hata kama kodi hatuna hakuna wa kutunyanyasa, ni kitu chetu wenyewe. Hongera sana Serikali.
 
U got it. Kuna kitu kinaitwa "kustahili"; ukiwa katika nafasi fulani ya utumishi wa umma una "stahili" vitu fulani fulani hivi. Sasa tofauti kubwa iko tu katika kiwango cha mastahili. Katika Tanzania watu pekee wasiostahili vitu fulani fulani ni wakulima tu. Labda kwa sababu hawana nafasi ya kudai mastahili yao na hakuna kupanda vyeo kwenye kulima.

1) Vitu fulani fulani ndio nini?

2) Hakuna Mkulima wa Tanzania aliyezuiliwa kujenga nyumba au jumba lolote apendavyo. Au uliteka serikali ikamjengee kila mkulima shambani kwake?

3) Tumeona mashamba yote yaliotaifishwa na Nyerere, yana majumba kila namna mazuri mazuri. Vipi baada ya kutaifishwa yalikuwa katika hali ipi?

4) Saa ngapi mkulima wa Tanzania akisha uza mazao yake, ajijengee? wakati muda huo yuko "busy" kwenye vilabu vya pombe?

Msitake kutujaza mambo yasi na maana humu. Andikeni vitu vinavyoeleweka na kustahiki. Kununua nyumba au jumba ya wana diplomasia wake Serikali inapaswa isifiwe sana na si vinginevyo. Tafuteni mengine si haya.
 
Not surprising hii si nchi maamuzi yanatolewa na kundi hilo hilo linalofahamu fedha za nchi ni kama takataka. Kama kuna atakayemwona kikwete na kumuliza maswali muulizeni what's Tanzania debt so far? What's total gov.expsenses including his budget? How many Tanzanians are current unemployed? What's does he think where's Tanzania's going to be in five years?

Hao wanapelekwa New York kwa kazi za serikali ya Tanzania si wanafanya kazi nzuri sana therefore they deserve this kind of life style. Diplomat my...... is Tanzania really have diplomats while at the same time the country don't democratized. Kama Venezuela wamenunua nyumba kwa diplomat NY basi TZ pia wafanye hivyo hivyo. Hii nyumba ni ya Rose Magio sio? Anafanya kazi kweli kweli hapo NY si wampe William Malecela kwani yeye sio diplomat NY.

Hii ni investment ya ridhwan, ngoja ipite miaka miwili tutaona nani anunua hii assets kwa price depleted. Hivi ndivyo uhujumu unavyopikwa, angali nyumba za serikali Oysterbay na ile ya Sitta, this is called flip the house and own it.
 
Mlitaka tuendelee kupanga? Ama kweli Watanzania hatuna jema.

Kununua nyumba maana yake hizo fedha bado ni zako, kwani ukiamua kuiuza pengine zinarudi zote na zaidi, inategemea na soko. Jee Kupangisha?

Sasa watueleze nyumba kama hiyo hapo ilipo ikiwa kupangishwa ina pangishwa kiasi gani? sio kuleta habari za upand mmoja tu.

Tanzania ilishamua siku nyingi kuwa kila itapopata wasaa itakuwa ikinunua nyumba zake za ubalozi nje, cha kushangaza ni nini?

Ni jambo jema sana la kujivunia. hapo tunauhakika hata kama kodi hatuna hakuna wa kutunyanyasa, ni kitu chetu wenyewe. Hongera sana Serikali.

Zomba, Na zile zilizouzwa na serikali ya CCM hapa Bongo kwa bei chee zilikuwa ni risky investment hivyo hazikufaa??!

Nakushukuru kwa kutumia neno "pengine". Tukisikia diplomat kauziwa huko kwa bei chee kwenye hii "biashara ya nyumba" ambayo serikali imeamua kufanya tutafaidika na jambo hilo kivipi siye walipakodi au tutawawajibisha vipi ma risky investors wetu??!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom