“Tanzania governor” Makonda on CNN for all the wrong reasons

Nyani Ngabu anawatoa katika reli kujadili hoja kama Makonda anachotaka ni sahihi , anawafanya mjadili kama CNN kutumia "governor" ni sahihi.

Makonda ananuka kwa jina lolote lile.

Paul Makonda.

Daudi Bashite.

Mkuu wa Mkoa.

Regional Commissioner

Governor.
 
Yes, she could be referred as Governer wa wilaya/mkoa.

No she can’t.

I really don't understand why this title is an issue. The issue is what came out of his mouth, which doesnt seem to concern you at all!

Really? How about you check this out

 
Look what we have here! So Paul Makonda is now a governor? Wtf!!!

How CNN has fallen! Once upon a time it used to be a respectable news organization. But that’s once upon a time.

Now they are just an anti-Trump left-wing, fake news pushing, low-rating cable network subsidiary organization of the Democratic party.

They can’t even get a simple basic fact like Paul Makonda’s title right! Isn’t that fake news????

What would ‘Fredo’ Chris Cuomo say about this?

wee jamaa ni mjinga sana aisee. kwahiyo umeona CNN wamekoea sana kumuita mokonda governor kuliko ule upuuzi aliozungumza makonda kuhusu kusajiri wanandoa wa dar es salaam?.
 
wee jamaa ni mjinga sana aisee. kwahiyo umeona CNN wamekoea sana kumuita mokonda governor kuliko ule upuuzi aliozungumza makonda kuhusu kusajiri wanandoa wa dar es salaam?.

Ndio. CNN wamekosea.

Kuhusu Makonda na alichokisema. Hilo nimeshaliongelea.

 
I don't think we should blame CNN that much, nor use the "translation error" as a manifestation of CNN fall from fame.

Imagine you were a translator, not well versed in Kiswahili, and someone asked you to translate "Mkuu wa Mkoa" into English, understanding Mkoa is analogous to "State" or "Province". What English word would you use? Did you really expect CNN to coin the word "Regional Commissioner" immediately? What is the proper Kiswahili translation of "Regional Commissioner" anyway?

So, to an intellectaul person, CNN translation of "Mkuu wa Mkoa" to "Governor" rather than "Regional Commissioner" is quite a good attempt, contrary to your thinking. Mkuu Nyani, I think you went too far and was unfair in critisizing CNN on this one.

They don’t have a prime minister in the US.

But they don’t call Narendra Modi the President of India!!!
 
Amini usiamini ingawa maneno Regional Commissioner ni ya kiingereza, watu kama Wamarekani watatoka kapa. Naamini kati 10 unaweza usipate hata mmoja atakayeelewa unaongelea mtu gani. Mfano mwingine,Wamarekani hao hao ingawa wanajua English, ukiwaambia potato chips au tomato sauce bado wengi wao mtapotezana pia.

Vipi Prime Minister?

Nayo ni maneno ya Kiingereza vilevile.

Hapo niaje? Marekani wana prime minister?
 
Nyani Ngabu anaishi US na anajua fika US wanatumia KITS kutanabaisha JERSEYS (Jezi) ilhali 99.9999 dunia mzima inafahamu fika Kits ni such a tool box.

Anafahamu fika US wanatumia Football kuwakilisha Union Rugby inayotambulika duniani kote.

Toka mwanzo nimesema inatokana na jamii husika inavyopokea neno na neno katika kutanabaisha US ukisema Vetting na Vetting inayofahamika Afrika ni tofauti.

Nyani Ngabu umeanza kuwa na American Inferiority, tabia za kwa argue na kuongea sana ilhali ni mambo ya ajabu.

Umekuja kutanabaisha makosa hayo na mwisho umeanza kuleta mzozo usiokuwa na maana. Ilhali unafahamu fika nini kinaendelea.

Wewe si nilikuomba uniwekee hapa majukumu ya magavana wa Marekani na majukumu ya wakuu wa mikoa Tanzania.

Kulikoni? Ulidhani nitasahau?
 
Kwa Wamarekani ukisema gavana wenzio wanaelewa tofauti kabisa.

Wanaelewa ni mtu anayegombea hiyo nafasi na kuchaguliwa na wapiga kura.

Wanaelewa ni mtu anayetoa mapendekezo ya sera kwenye bunge [la jimbo].

Wanaelewa ni mtu anayeongoza serikali ya jimbo kwa kufanya teuzi mbalimbali za serikali yake.

Wanaelewa ni mtu ambaye saini yake ndo inaifanya sheria mpya iwe sheria na kuanza kufanya kazi.

Wanaelewa kuwa ni mtu mwenye uwezo wa kura ya veto.

Wanaelewa yeye ndo amiri jeshi mkuu wa national guard.

Wanaelewa ni mtu mwenye mamlaka ya kuitisha vikao maalumu vya bunge la jimbo.

Wanaelewa ni mtu mwenye mamlaka ya kuweza kutoa misamaha kwa wafungwa wa majimbo.

Wanaelewa ni mtu mwenye uwezo wa kuitisha chaguzi maalumu ili kujaza nafasi za baadhi ya vyeo vya kuchaguliwa vilivyo wazi.

Je, mkuu wa mkoa wa Dar ana majukumu kama hayo?

Kwa mnaodai Makonda ni Governor wa Dar es Salaam.

Je, Makonda ana uwezo wa kikatiba na kisheria kufanya hayo?
 
Back
Top Bottom