“Tanzania governor” Makonda on CNN for all the wrong reasons

Ni sawa na kusema Cabinet Secretary sio Minister, hizo ni terminologies tu ni kama car and motorcar.
CNN ni chombo cha Wamarekani.

Wamarekani ukiwaambia "Regional Commissioner" watakuuliza "What's that?".

Ukiwaambia "governor", wanaelewa mara moja unaongelea level gani ya utawala.
 
CNN ni chombo cha Wamarekani.

Wamarekani ukiwaambia "Regional Commissioner" watakuuliza "What's that?".

Ukiwaambia "governor", wanaelewa mara moja unaongelea level gani ya utawala.
Yeah it's like a car's bonnet while it's a hood. vacation while it's holidays etc.
 
We call them regional commissioners RC. They are equivalent to governers, according to CNN's undestanding of our government structures of leadership.
 
Please put open, what pain you Makonda to be on cnn or Makonda to be called a governor
 
In USA they don't have central bank like Tanzania, they have a federal reserve, which is lead by chairman Jerome Powell.

They don't use the word governor in their banking sector like we have Governor Luoga.

Governors lead states in USA, in Tanzania regional commissioners lead regions, district commissioners lead districts.

I think in USA they have counties which are equivalent to our districts.
 
Nyani Ngabu anaishi US na anajua fika US wanatumia KITS kutanabaisha JERSEYS (Jezi) ilhali 99.9999 dunia mzima inafahamu fika Kits ni such a tool box.

Anafahamu fika US wanatumia Football kuwakilisha Union Rugby inayotambulika duniani kote.

Toka mwanzo nimesema inatokana na jamii husika inavyopokea neno na neno katika kutanabaisha US ukisema Vetting na Vetting inayofahamika Afrika ni tofauti.

Nyani Ngabu umeanza kuwa na American Inferiority, tabia za kwa argue na kuongea sana ilhali ni mambo ya ajabu.

Umekuja kutanabaisha makosa hayo na mwisho umeanza kuleta mzozo usiokuwa na maana. Ilhali unafahamu fika nini kinaendelea.
 
Tushirikiane kufanya tafiti kuweza kufahamu ni mataifa mangapi yenye kutumia Regional Commissioner!

Tuweze ona CNN wangeeleweka?

Tanzania yupo Rais lakini UK yupo prime minister anayefanya kazi sawa na ile anayofanya Rais kwa Tanzania.
Katika kupitia comments mbalimbali nimegundua kwamba Watanzania wengi wanakariri mambo badala ya kuelewa haijalishi Wana viwango gani vya elimu.
Yaani mtu Anashindwa kureason kwamba neno RC si kila nchi wanalitumia na si kila nchi Governor huchaguliwa na wananchi bali inategemea na fasion ya nchi husika.
Kiuhalisia na kiufanisi wa kazi ilitakiwa hata hao RCs na DCs pia wachaguliwe na wananchi ila sema ktk mpangilio wa nchi yetu ndio wakaone wawe wanateuliwa na Raisi.
So vitu Kama hivi sio vya kutumia nguvu nyingi kukariri.
 
Hivi "Regional Commissioner" kwa kiswahili ni "Mkuu wa Mkoa" ama "Kamishna wa Mkoa"

Lugha bana!
 
Its all about the audience..., unawaambia kina nani kwahio unaowaambia utawaambia equivalence yake.., kama chombo kingekuwa audience yake ni wachawi basi wangeweza kusema "Chief Witch of Tanzania...." Hicho ni chombo cha habari kipo pale kuhabarisha na kueleweka hivyo ni muhimu kuongea lugha ya walaji...
 
Look what we have here! So Paul Makonda is now a governor? Wtf!!!

How CNN has fallen! Once upon a time it used to be a respectable news organization. But that’s once upon a time.

Now they are just an anti-Trump left-wing, fake news pushing, low-rating cable network subsidiary organization of the Democratic party.

They can’t even get a simple basic fact like Paul Makonda’s title right! Isn’t that fake news????

What would ‘Fredo’ Chris Cuomo say about this? 🤣🤣

I don't think we should blame CNN that much, nor use the "translation error" as a manifestation of CNN fall from fame.

Imagine you were a translator, not well versed in Kiswahili, and someone asked you to translate "Mkuu wa Mkoa" into English, understanding Mkoa is analogous to "State" or "Province". What English word would you use? Did you really expect CNN to coin the word "Regional Commissioner" immediately? What is the proper Kiswahili translation of "Regional Commissioner" anyway?

So, to an intellectaul person, CNN translation of "Mkuu wa Mkoa" to "Governor" rather than "Regional Commissioner" is quite a good attempt, contrary to your thinking. Mkuu Nyani, I think you went too far and was unfair in critisizing CNN on this one.
 
Kwa Wamarekani ukisema gavana wenzio wanaelewa tofauti kabisa.

Wanaelewa ni mtu anayegombea hiyo nafasi na kuchaguliwa na wapiga kura.

Wanaelewa ni mtu anayetoa mapendekezo ya sera kwenye bunge [la jimbo].

Wanaelewa ni mtu anayeongoza serikali ya jimbo kwa kufanya teuzi mbalimbali za serikali yake.

Wanaelewa ni mtu ambaye saini yake ndo inaifanya sheria mpya iwe sheria na kuanza kufanya kazi.

Wanaelewa kuwa ni mtu mwenye uwezo wa kura ya veto.

Wanaelewa yeye ndo amiri jeshi mkuu wa national guard.

Wanaelewa ni mtu mwenye mamlaka ya kuitisha vikao maalumu vya bunge la jimbo.

Wanaelewa ni mtu mwenye mamlaka ya kuweza kutoa misamaha kwa wafungwa wa majimbo.

Wanaelewa ni mtu mwenye uwezo wa kuitisha chaguzi maalumu ili kujaza nafasi za baadhi ya vyeo vya kuchaguliwa vilivyo wazi.

Je, mkuu wa mkoa wa Dar ana majukumu kama hayo?
Hata marais wanatofautiana mamlaka, raid wa Tanzania hawez fanana kimamlaka na raid wa Kenya au south Africa japokuwa wrote ni maraisi, sawa Kwa governor na mkuu wa mkoa, tatizo lako unakariri maisha jifunze kuwa muelewa
 
Look what we have here! So Paul Makonda is now a governor? Wtf!!!

How CNN has fallen! Once upon a time it used to be a respectable news organization. But that’s once upon a time.

Now they are just an anti-Trump left-wing, fake news pushing, low-rating cable network subsidiary organization of the Democratic party.

They can’t even get a simple basic fact like Paul Makonda’s title right! Isn’t that fake news????

What would ‘Fredo’ Chris Cuomo say about this? 🤣🤣

We nae, nilifikiri the wrong reasons are what the "Governor" uttered, kumbe it is what title they gave him. Walewale tu. This whole foolishness coming out of his mouth is to divert attention from Eric Kabendera
 
Back
Top Bottom