TANZANIA ''give us an equivalent piece of land to take us to the sea.” IF THEY NEED LAKE MANYARA ''

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Simburashe Mungoshi is a history and political science lecturer at the Malawi Polytechnic.

“By this treaty it is clearly stated that the eastern boundary of Malawi and Tanzania is on the shores of Lake Malawi. However the treaty allowed the Tanganyika [now Tanzania] territory to use the waters for fishing and even for transportation," said Mungoshi. "Otherwise they recognize that the shores were the boundary and then there was the Organization of African Union which said upon independence the existing boundaries should be respected.”
 
Mungoshi suggests the dispute can only be resolved by compromise.

“When these boundaries were agreed upon by the British and Germans it was a give and take game," said the lecturer. "The British had to give up claims in some territories in Tanganyika area. Needless to say the Germans had also to give up. So in which case, if Tanzania wants a change in boundaries it would be a give and take. If they want something they must give something. Malawi is a land locked country; we need access to the sea. May be they could give us an equivalent piece of land to take us to the sea.”
 
Mungoshi suggests the dispute can only be resolved by compromise.

"When these boundaries were agreed upon by the British and Germans it was a give and take game," said the lecturer. "The British had to give up claims in some territories in Tanganyika area. Needless to say the Germans had also to give up. So in which case, if Tanzania wants a change in boundaries it would be a give and take. If they want something they must give something. Malawi is a land locked country; we need access to the sea. May be they could give us an equivalent piece of land to take us to the sea."

Lekchara gani huyu? anaongelea ya wakoloni leo hii?
 
Hahaha I think that is weed, ganja, bangi. We must stick and adhere to the colonial boundaries which resulted from the berlin conference chaired by Chancellor Bismark. No Malawi or Tanganyika existed before that but local chiefdoms. How can you say it belongs to lake Malawi? This is totally Shit
 
Eti they want a piece of land from our end....what type of ganja are they smokin??

That is how they gargain, ngoja utasikia hoja za wawakilishi wetu huko mzuzu, wataandaliwa wanawake warembo wa kimasai na wataruhusiwa kuingia nao kwenye discussion room, unajua kitakachofuatia.

Wewe unajua siku Karamagi anasign mkataba wa Buswagi Londoni Jkilaza alikuwa hoteli hiyo hiyo?
 
Simburashe Mungoshi is a history and political science lecturer at the Malawi Polytechnic.

“By this treaty it is clearly stated that the eastern boundary of Malawi and Tanzania is on the shores of Lake Malawi. However the treaty allowed the Tanganyika [now Tanzania] territory to use the waters for fishing and even for transportation," said Mungoshi. "Otherwise they recognize that the shores were the boundary and then there was the Organization of African Union which said upon independence the existing boundaries should be respected.”

Where does Lake Manyara comes from. Nafikiri una usingizi kapumzike
 
arabs are funny. All prime land and businesses belong to arabs in tanzania. Blacks please dont allow urselves to be used like condoms.
 
Sasa mnataka ziwa Nyasa au Manyara?.
Mnatuchanganya wamalawi mlioko huku jamvini.
 
Wamalawi wameingia kwenye mtego ambao nchi za Afrika zimeingia .Ukiondoa nchi zilizoko pembezoni mwa Afrika vita nyingi imetokana na rasilimali zilizopo afrika na vita hivyo vimechochewa na makampuni na mataifa ya ulaya ili wapate urahisi wa kujichotea rasilimali hizo.Hivi keanini Kongo vita haiishi na sehemu kubwa vinapopiganwa ni sehemu zenye madini.Wao wako tayari kuwapa silaha muuane mwisho wa siku wanawapigia mahesabu ya gharama inabidi muwaruhusu wajichotee wanavyotaka.
Naomba wamalawi waliangalie kwa makini ukichukulia rais wao alikubali kushirikiana na wafadhili kwa kila kitu ikiwamo kuruhusu hata ndoa za jinsia moja kitu ambacho ni kinyume cha utamaduni wetu.
Tumeishi na wamalawi kama ndugu kwa muda mrefu bila ukorofi na baadhi yao wamewekeza sana nchini kwetu ila siku vita vikianza watakuwa ni maadui yale mazuri yote waliyokuwa wanafaidi yatatoweka. Pamoja na tofauti zetu likija swala la vita wasitegemee kuwa tutaendelea kuwa tofauti.
 
poverty in malawi and tanzania is stincking. No wonder this debate is also dull. Do poor people still want to fight?

Back
Top Bottom