Tanzania Foreign Policy & strategy | Diaspora

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Serikali | Tanzania, pamoja ya kuwa inafanya vyema, lakini much more have to be done. Inabidi, Serikali | Tanzania i re calibrate sera zake za nje. Pia serikali |Tanzania inapaswa kufanya kazi na wananchi wake kwa ujumla wao walio ndani na nje(Diaspora).

Tanzania ijitoe kwenye position ya kujifanya kuwa victim(defending position) na badala yake iwe kwenye position ya kushambulia(attacking position). Serikali | Tanzania iachane na mpango wakuwa na protective economy badala yake ianishe strength zake na kuwa open market ambayo ni competitive ktk hili soko huria.

Mfano kwa mfano, badala ya kuwakatalia EPA yani EU kuwa nao soko huru ya kwamba eti hatuwezi shindana nao , hii si kweli. Hii ni hoja ya watu wanaojiweka ktk inferiority position. Tunaweza kushindana na EU na tukafanikiwa. Kinachotakiwa tu, ni serikali | Tanzania kuwajumlisha diasapora wake ktk mchakato mzima na namna gani Tanzania itanufaika ktk zoezi zima. diasapora wanaelewa mazingira na namna zaidi kuliko msomi anayeishi Tanzania. EU kwa mfano hawana mapapai, mihogo, mchicha na maharagwe kwanini tusiwashinde ktk eneo hilo.

We need exports ku hamasisha ukuaji wa uchumi, na hii export lazima ihusishe wadau wote kwa pamoja , tuachane na mawazo yakufikiri protective and monopoly is healthy for economy. Tuachane kuwatilia vikwazo diasapora maana kuna njia mbili za export ili upate dola zaidi.
1. u export product ama services nje
2. U hamasishe watanzania kwa wingi watoke nje wakafanye kazi huko nje. Hii ni kwamba mtanzania aliye sweeden akituma kwa dada yake Tabora EURO 400 ktk soko inaonekana Tanzania ili export bidhaa na inalipwa EURO 400. Hivyo ktk muktadha huu Tanzania|serikali ikae na diasapora wake ktk ku synchronize and close some gaps for the betterment of this nation.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom