Badala ya kukimbizana na kuuza bandari kwa China ya Bagamoyo ambayo haitanufaisha mtu yeyote zaidi ya wachache huku tukitumia pesa nyingi kulipa na kuweka China kwa miaka 100 .
Tanzania tayari inajenga bandari ya Tanga kwasababu ya mafuta je kwanini badala ya kutengeza na kupoteza pesa na tayari tuna bandari Dar!! wasiweke Rail kutoka Tanga mpaka pale kwenye sehemu wanayotaka kujenga bandari na iwe kama warehouse tu.
Sasa tumepata deal nzuri ya kujengewa bandari kwa mafuta ya uganda haitakuwa ngumu kuongeza pesa kidogo kukuza hii bandari badala ya kupoteza pesa nyingine na sio mbali hivyo!.
Kuna faida gani kuwa na bandari ya mafuta pekee Tanga, Bandari ya Dar na Bagamoyo !!! tena kwa $7B.