Mbona mi sijasikia hiyo kuhusu bongo ila kenya, nihabarisheJamani wananchi wenzangu, hili
jambo la TCRA, kuzima simu zote
feki unafikiri ni la busara ikiwa
tunaamini kuna TBS ambayo
inachunguza kila bidhaa
zinazoagizwa kutoka nje na
kuhakikisha ni salama ndo
zinaruhusiwa kusambazwa kwetu
wananchi. Iweje TCRA watuzimie
sisi simu zetu, kwa nini
wasiaadhibu TBS kwa kuruhusu
hizo simu feki?