Umeelewa kweli hiyo discussionSindano iwaingie Chadema
Utopolo elimu yako std 5 hujui hata nini kimeongelewa,hata meko nae hajui nini kimeongelewa hapoSindano iwaingie Chadema
Shule shule shule, mwishowe ndiyo matokeo haya, mtu anacoment hajui hata nini kimeongelewa.Umeelewa kweli hiyo discussion
Bia yetu unawaaibisha Wanalumumba wenzako 🤣🤣Sindano iwaingie Chadema
Mapokezi ya Tundu Lissu Tanga ni Hataree!!
Kazi ya Shekhe Ponda imeanza kuzaa Matunda
Akili huwa mnanpaga naniii?Sindano iwaingie Chadema
Bia yetu ndo Meko mwenyewe.Utopolo elimu yako std 5 hujui hata nini kimeongelewa,hata meko nae hajui nini kimeongelewa hapo
Mapokezi ya Tundu Lissu Tanga ni Hataree!!
Kazi ya Shekhe Ponda imeanza kuzaa Matunda
Huyu ndo jingalao = MekoBia yetu ndo Meko mwenyewe.
Kuna watu wenye akili sana kwenye kampeni za LissuImpact ya sheikh Ponda ni kubwa saana!! Sioni Ccm itapitaje kwenye sehemu zenye waislamu wengi. Sheikh Ponda anasikilizwa, anapendwa na kuaminiwa na waislamu wengi sana nchini.
Hakuna namna Ccm itashinda uchaguzi wa mwaka huu. Nasema tena hakunaaaa!!
Kweli hakikaKuna watu wenye akili sana kwenye kampeni za Lissu
Watakoma wapi wakati ulikuwa ukisema Chadema kimekufaChadema watakoma mwaka huu