Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,178
Wanabodi,

Niko katika ukumbi huu wa Paradise City Hotel, ambapo kwa mara ya kwanza tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu ile jana, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ndio inatangaza rasmi matokeo ya urais.

Chumba kimefurika wanahabari wa kitaifa na kimataifa, pia TV ziko live kutoka ukumbini hapa, nitawaletea kinachojiri, ile wale wenye access na TV fuatilieni na kutupa updates

CLICK HERE TO DOWNLOAD ALL RESULTS IN EXCEL FORMAT

hai.jpg

ilemela.jpg

MatokeoCombined_Page_01.jpg
 
KWa kuwa wachakachuaji wote wako tayari majimboni, tunaanza kupewa yaliyochakachuliwa!!!

Mungu tusaidie...:doh:
 
Mkuu wa kitengo cha ICT cha NEC, Dr. Cisti Karia, amesema matokeo ya jimbo kwa jimbo, yatatangazwa na NEC kadri yanavyofika na kuonekana kwenye Big Screen mbili zilizoko ukumbini humu.
 
Ukitaka kuchakachua lazima uwe na moyo wa chuma. Hayachakachuliki. Mafuta bahari maji ndo utachakachua vipi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom