Tanzania domestic revenue collection reaches $300m monthly

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,820
287,886
Tanzania domestic revenue collection reaches $300m monthly

By MIKE MANDE
The EastAfrican

Tanzania’s domestic revenue collection has reached $300 million per month this year compared with the $25 million that was collected monthly in 2005.

Mustafa Mkulo, the Minister for Finance and Economic Affairs, said in Dar es Salaam last week that for five successive years, domestic collection has exceeded targets.

Mr Mkulo said the collection has been strong due to the government’s tax policy and tax administration.

According to the minister, the government has managed to contain inflation to single digits in the past six years although inflationary pressures remain strong for a number of reasons, including high petroleum and food prices in the world market.

“In these circumstances, the government is striving to maintain a prudent monetary and fiscal policy stance to avoid exacerbating the pressures,” he said.

Tanzania’s economic growth averaged 7 per cent per annum between 2001 and 2007 despite external shocks such as adverse weather conditions, high energy prices and prices of food and other commodities.

The domestic revenue to gross domestic product (GDP) ratio has risen from 11 per cent five years ago to nearly 17 per cent in 2007/2008. Tanzania’s financial sector is vibrant, with credit to the private sector growing at more than 40 per cent. Interest rates, which were very high in the past, have recently been reduced through prudent fiscal and monetary policy measures.

The government is now facing the challenge of broadening the tax base in order to increase domestic financing capacity and reduce aid dependency.

The country has been implementing aid management reforms as part of the broader economic reforms undertaken since the mid 1990s to make aid more effective and supportive of national development and poverty reduction efforts.

The Ministry of Finance and Economic Affairs has also developed the Joint Assistance Strategy, a national medium term framework for managing co-operation between Tanzania and its development partners.

The development partners have imposed new aid policy in the country including the adoption of General Budget Support (GBS) for delivering development assistance.

The GBS provides untied budget support to Tanzania using a unified framework and common dialogue. The resources are fully integrated into Tanzania’s budget process with 14 development partners, who contribute up to 40 per cent of total aid flows and 15 per cent of the country’s budget.
 
Bubu ataka Kusema;

Hakuna jipya! Hata sijui huyu mwandishi wa habari kwanini alidhani hiyo ni news!!!
 
Where is the money?:confused:
With proper planning with this kind of money we can reduce some of our major problems. Ooooops! I forgot that mafisadi are busy stealing our hard earned money.
 
Nina wasiwasi na hiyo figure. Ni kutoka $25 millioni mwaka 2005 hadi $300 millioni 2008 au ni kutoka $250 milioni 2005 hadi $300 millioni?
 
Nina wasiwasi na hiyo figure. Ni kutoka $25 millioni mwaka 2005 hadi $300 millioni 2008 au ni kutoka $250 milioni 2005 hadi $300 millioni?

Kama sikosei makusanyo sahihi 2005 yalikuwa $250 millioni kwa mwezi.
 
Hizo figure mie hata siziamini mpaka nione maendeleo kako ktk jamii. Mbona Mkkapa alituambia hivyo hivyo kuwa uchumi wetu ni mzuri na unakuwa na kumbe mifuko yao ndio inakua na huku tuko maskini wa kutupa
 
Hizo figure mie hata siziamini mpaka nione maendeleo kako ktk jamii. Mbona Mkkapa alituambia hivyo hivyo kuwa uchumi wetu ni mzuri na unakuwa na kumbe mifuko yao ndio inakua na huku tuko maskini wa kutupa

Hakuna wa kutoka TRA humu wakatufafanulia kuhusu hili? Maendeleo katika jamii ndugu yangu yatatoka wapi wakati mapesa yote yanakombwa na mafisadi na kufungua bank accounts nchi za nje, kununulia rada, ndege ya rais na magari na helicopters za jeshi tusizohitaji?

Si unakumbuka msanii JK alipokuwa anaongea na kingunge mmoja toka nchi za wafadhili hakuona haya wala kusikia vibaya kumwambia kwamba mabilioni yaliyochotwa BoT ni fedha za Watanzania wenyewe na wala si kutoka kwa wafadhili, basi ndiyo hayo makusanyo yote yanaishia mifukoni mwa mafisadi, matokeo yake hatuoni maendeleo yoyote!
 
Duu topic muhimu sana hii na mpaka leo haina majibu?

Mie naongezea swali hapa.......kwa data za hivi karibuni mkoa gani, mji gani ama eneo gani ambalo limeongoza kwa kukusanya kodi na pia ni wapi uchumi wake ni mkubwa ukilinganisha na sehemu nyine hapa Tanzania ? kaka kuna mwana JF ana hii info atusaidie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom