Tanzania Dismantles al-Shabaab child indoctrination camp in Tanga region

Boreless

Member
Aug 25, 2009
61
39
Tanzanian police broke up an al-Shabaab training operation in Tanga region, arresting 69 suspects and freeing dozens of recruits ranging from 4 to 13 years old in a security sweep carried out October 28th to November 5th.

  • Children as young as 4 years old were found being indoctrinated by al-Shabaab elements in Tanga. Above is a screenshot from a video produced by al-Shabaab's media arm al-Kataib, showing young boys being indoctrinated in Somalia.

"This has shocked us, we have increased security in Kilindi district and we have deployed enough community police who know the place properly, and through joint operations with our police we are getting encouraging results," Tanga Regional Police Commander Constantine Massawe told Sabahi, confirming the number of arrests.

On the first day of the operation, police rescued 54 children and 32 women who were found at a training facility in Lwande and reunited them with their families the first week of November, according to Kilindi District Commissioner Selemani Liwowa.

Indoctrinating very young minds
Another 20 children, aged between 4 and 13 and who "had been completely brainwashed" by al-Shabaab at a local mosque, were placed in a rehabilitation programme, Liwowa told Sabahi.

When police found them at Madina mosque, the youngsters possessed exercise books which contained teachings on "how to kill using a knife [or] a machete, how to fight aggressors with weapons and without [weapons], how to sabotage the economy and how to liberate East Africa from the hands of the kuffar [infidels]," according to Liwowa.

Al-Shabaab had brainwashed these children to the point that they disowned their parents as not being true Muslims because they intermingled with non-Muslims, he said.

During the raid on the mosque, police also seized 12 videos containing al-Shabaab teachings on how to liberate Muslims in East Africa and the world at large, he said.

The leader of the group, who goes by the name Ayubu and is commonly known as "Master", fled minutes before the police arrived at the mosque, but they arrested his assistant, a resident of Singida region identified as Mr. Jumanne, Liwowa said.

The children were handed over to social workers for a three-week rehabilitation programme, said Tanga District Commissioner Halima Dendego. If they are able, the children will be reunited with their families, she said. "My surprise is how these young children came in contact with these trainers," Dendego told Sabahi. "You find a four-year-old child whose parents are not known, and you wonder how they got hold of such a young child." Parents need to be educated about the importance of keeping their children in schools so they do not fall prey to terrorist groups, Dendego said.

A growing al-Shabaab threat?
The presence of al-Shabaab in the district came to light in the last week of October, when aggrieved citizens notified local government officials about the training camp located in the Lwande forest.

"We got the information from Samaritans, especially pastoralists whose cattle were being seized whenever they crossed nearby this training camp," Liwowa said. "Also, [the al-Shabaab trainers] were evicting natives and confiscating land to the extent that they had acquired 500 acres."

Local officials learned that four al-Shabaab trainers had arrived in Kilindi district in 2008 and joined the Madina mosque, but villagers distanced themselves from the trainers after finding their views to be too fundamentalist, Liwowa said. "After that skirmish late in 2008," referring to a physical altercation that occurred inside the mosque between locals and the al-Shabaab members, "the trainers bought their own piece of land and built a separate mosque which now they used to impart al-Shabaab teachings," he said.

According to information gathered so far, some children who had been trained by al-Shabaab in Kilindi had been sent to Somalia via Mombasa, Kenya, Liwowa said. A number of al-Shabaab instructors from Somalia and Mombasa also came to Kilindi in early 2013, and there appears to be recruitment efforts in other regions as well, such as Kilimanjaro, Zanzibar, Pwani and Mtwara.

The police operation in Kilindi district follows the October 7th arrest of 11 suspected al-Shabaab members undergoing military training in the Mtwara region. In addition, police arrested Tanzanian businessman Juma Abdallah Kheri October 31st in Tanga on suspicion that he was involved in financing terrorist groups in Tanzania and al-Shabaab's affiliate in Kenya, the Muslim Youth Centre.

When asked what Tanzania was doing to counter the seemingly growing al-Shabaab threat, Director of Criminal Investigations Robert Manumba said police were collaborating with other security agencies to combat the problem. "We have teamed up all security departments to form a special team. The team includes security officers from the police, army, our national security intelligence service, immigration and the [Tanzania Revenue Authority] who are closely working together to find a lasting solution," Manumba told Sabahi.
 
Hatareeeeeeeee!! hivi uislamu ndo uko hivi!???

Uislamu hauko hivi,unachafuliwa na baadhi ya watu wanaotumia umasikini na ujinga wa sehemu kubwa ya jamii ya Kiislamu kupandikiza mbegu ya chuki.

Kupambana na tabia za aina hii kwanza ni jukumu la serikali kuhakikisha watoto wanapata elimu bora na inasaidia kupunguza kiwango kikubwa cha umasikini na ukosefu wa kazi.

Kwa upande wa Waislamu ni jukumu lao kukemea na kupambana kiukweli na ndugu zao wanaotoa tafsiri potovu ya Uislamu! Kama wanajiona sijukumu lao basi wasilalamike jamii itakapo wachukulia kwamba wote ni wapenda shari,watu wa jazba,wapenda vita,nk.
 
Imani hii ni ya ajabu sana;Wanamakusudi ya kuwaliberate waislam wote wa East Africa na Ulimwengu wote kwa ujumla. Lakini watashindwa na kuishia kufa vibaya maana Mungu kamwe hawezi kaa upande wa ushenzi huu. Kwa nini ugaidi Unafunganishwa na Uislam?? ebu nijuzeni the logic behind huu ushenzi?????
 
OK ikiwa tungesikia kwamba hao Al-Shabab wametoa pesa nyingi kwa ajili ya kuwafundisha vijana dini yao ya kiislam hapo hao wangekuwa ni waislam lakini kwa kuwa wameanza kuwafunza Watanzania mambo ya kigaidi hao hao siyo tena waislam, this is none sense statement.
 
Imani hii ni ya ajabu sana;Wanamakusudi ya kuwaliberate waislam wote wa East Africa na Ulimwengu wote kwa ujumla. Lakini watashindwa na kuishia kufa vibaya maana Mungu kamwe hawezi kaa upande wa ushenzi huu. Kwa nini ugaidi Unafunganishwa na Uislam?? ebu nijuzeni the logic behind huu ushenzi?????

Wakazi wa kilindi tanga wanaujua ukweli.
 
Imani hii ni ya ajabu sana;Wanamakusudi ya kuwaliberate waislam wote wa East Africa na Ulimwengu wote kwa ujumla. Lakini watashindwa na kuishia kufa vibaya maana Mungu kamwe hawezi kaa upande wa ushenzi huu. Kwa nini ugaidi Unafunganishwa na Uislam?? ebu nijuzeni the logic behind huu ushenzi?????

Ila ile imani ya wale wachungaji akina Mwaikambo kuwa .....mabinti wa miaka 11 na 13 pamoja na wale wachungaji wangine wenye skendo kama hizo, aaah hao dini yao inaruhusu,
Unapotaka kuzungumzia jambo hebu ikuchukue muda kidogo kukipambanua na kisha ndo uweke mawazo yako ya kuaminisha watu hapa.
 
Hivi wale magaidi wa kule Mtwara waliishia wapi?

Au ile skuli yetu ya mazoezi enzi hizo pale Zanaki Sec ya kufundisha karate imekufa siku hizi au ndio vikundi vya ugaidi?

Poleni sana. Mkikua mtayajua tu.
 
Tofautisha kile kilichokuwa kinafanyika Zanaki enzi hizo na huu ujinga unaofanyika ktk baadhi ya misikiti na maporini huko Kilindi na Mtwara!
 
Tofautisha kile kilichokuwa kinafanyika Zanaki enzi hizo na huu ujinga unaofanyika ktk baadhi ya misikiti na maporini huko Kilindi na Mtwara!

Niambie tofauti yake ni nini?

Kwani mimi watoto wangu walikuwa wanacheza karate pale zanaki toka wakiwa na miaka 5.

naomba tofauti please kama hu msema kweli?
 
Niambie tofauti yake ni nini?

Kwani mimi watoto wangu walikuwa wanacheza karate pale zanaki toka wakiwa na miaka 5.

naomba tofauti please kama hu msema kweli?

Aisee yaani huoni tofauti, pale zanaki walijifunza goju ryu na huko porini wanajifunza kuua watz kwa kisingizio cha dini
 
Hawa jamaa wana mawazo tu yanayofanana na hao munaowaita magaidi,ukweli hawa ni masikini wa kitanzania waliokosa elimu na kazi za kufanya. Hao wanaoitwa magaidi ni watu wenye akili sana ambao serikali sikuvu ya JMT haiwezi kumbapana nao. Polisi wataishia kuwakata vigenge venye njaa kama hivi ili na wao waonekene wanaweza kupambana na magaidi.
 
wewe source yako ni ipi hiyo? Sababu niliiweka hii habari jana… wajanja wakampelekea habari mode kuwa source wangu sio reliable… na wakaiondoa within a click of an eye...

Lakini naona yakwako ipo na it was the same topic… is there any bias?
 
Uislam mzuri umeingiliwa na uislamu wa kigaidi. Serikali, vyombo vya dola, watanzania waislamu na wasio waislamu, wote lazima kuwa macho. Tukiacha mbegu hii iote, watu watachinjwa na kulipuliwa kwa mabomu kama kule Iraq!
 
Imani hii ni ya ajabu sana;Wanamakusudi ya kuwaliberate waislam wote wa East Africa na Ulimwengu wote kwa ujumla. Lakini watashindwa na kuishia kufa vibaya maana Mungu kamwe hawezi kaa upande wa ushenzi huu. Kwa nini ugaidi Unafunganishwa na Uislam?? ebu nijuzeni the logic behind huu ushenzi?????

Kaka usiwe cheap mind. Hiyo isue ukiipata usahihi wake kwanza naamini utalia sana kwa sababu ulichoripotiwa siyo na hiyo story siyo ya jana its more than weeks na hakuna media iliyotoa nini kimefanywa,leo hii tunaoneshwa picha za watu walioko kwenye kambi kama wakimbizi eti ni alshababu!!! Hakika si vizuri. Kuna mengi yamefichwa behind the story. Msitukane watu ebu fatilieni ukweli Tanga sio ulaya ni pa kwenda kwa masaa.
 
waende shule ya al noor pongwe tanga wakachunguze vizuri

Acheni chuki zisizowasaidia watanzania na zisizojenga umoja wa kitaifa kwa kuweka mbele dharau. Kuwapaka watu matope wala haitusaidii kama taifa.
 
Hivi wale magaidi wa kule Mtwara waliishia wapi?

Au ile skuli yetu ya mazoezi enzi hizo pale Zanaki Sec ya kufundisha karate imekufa siku hizi au ndio vikundi vya ugaidi?

Poleni sana. Mkikua mtayajua tu.
Barubaru acha noma Pale Zanaki umenikumbusha mbali sana enzi zile utasikia one, two,...... hadi nine kisha unasikia Esss!!! walikuwa wanachezea kwenye madarasa ya Primary na secondary pia Master wao alikuwa na Mkanda mweusi... wewe lazima ulikuwa mtoto wa kariakoo....
 
Last edited by a moderator:
Aisee yaani huoni tofauti, pale zanaki walijifunza goju ryu na huko porini wanajifunza kuua watz kwa kisingizio cha dini

Je una uhakika au ndo chuki tu za kiimani?

Nieleze vipi kesi ya wale magaidi wa kule mteara iliishia wapi?
 
Barubaru acha noma Pale Zanaki umenikumbusha mbali sana enzi zile utasikia one, two,...... hadi nine kisha unasikia Esss!!! walikuwa wanachezea kwenye madarasa ya Primary na secondary pia Master wao alikuwa na Mkanda mweusi... wewe lazima ulikuwa mtoto wa kariakoo....

Kwa moaka yangu yote nikiwa bara nimeishi Aggrey street na kusomea skuli za mtendeni primary, na sec Tambaza enzo za Karumina. Ingawa nilipoanza kazi niliamia mtaa wa Ali Khan upanga karibu kabisa na zanaki.

Na mimi na watoto wangu wote tulikuwa tunahudhurua mazoezi sana pale zanaki kwa sensei/
 
Back
Top Bottom