Tanzania demokrasia yetu hakuna wa kutulinganisha nae Afrika!

Ni kweli kabisa hakuna wa kulingana nasi kwa sababu ukipingana na callmej risasi 38. Upo hapo.?wapi ulisikia hiyo?
 
Tanzania ni nchi ambayo kwa africa bado huwezi kuilinganisha na nchi yeyote kuhusu demokrasia na uhuru wa kujieleza tanzania bado huwezi kuilinganisha na rwanda,burundi,uganda,zimbwabwe,zambia,misri,mozambiq na kenya hii ambayo kwa hapa kwetu tunaiona ni mfano bado haupo huru kama kuweza kuishutumu wazi wazi serikali na bado ukawa unaangaliwa

Tanzania wanapolalamika demokrasia ,mtu yupo huru kusema serikali ndio imetaka kuua au inafanya mauji,serikali inanitafuta na bado ukawa unaranda mtaani na hata gerezani hujafika zaidi ya kuhojiwa na kuachiwa au kamati ya maadili ya bunge,

Ulizeni uhuru wa kujieleza kwa mtu kama dhlakhama wa renamo mozambiq,shangirai,mpinzani wa rwanda,na nchi nyingine na hawa kama wangekuwepo tanzania na wanavyojua siasa ya upinzani basi wangeshakua watawala,hapa wanapolalamika nilichogundua watu wanataka demokrasia ya matusi kuitukana serikali nzima kuanzia rais mpaka mkuu wa wilaya matusi ya nguoni na familia yake ndio waseme wana uhuru wa kujieleza na demokrasia,

Hii ya kutamba na kusema maneno yote na kuishia na kwenda kulala majumbani familia zao wanaona haitoshi,bado watu wapo huru kuahidi watapambana na jeshi,watu wapo huru kuita media na kueleza ya moyoni na bado mkawa huru ni nchi gani yenye kuvumilia hayo zaidi ya hapa kwetu!

Tufanyeni kazi demokrasia mnayoitaka ya kumtukana rais nchi yeyote hairusiwi!

SIASA MPAKA 2020
Kilaza katika ubora wako
 
Sasa hivi ishu ya utawala bora mnatulinganisha na vinchi kama rwanda, burundi, uganda na sudan kweli jamani!
Mbona kipindi cha nyuma mlikuwa mnatulinganisha na south africa, na nchi nyingine za ulaya uko
 
Sasa hivi ishu ya utawala bora mnatulinganisha na vinchi kama rwanda, burundi, uganda na sudan kweli jamani!
Mbona kipindi cha nyuma mlikuwa mnatulinganisha na south africa, na nchi nyingine za ulaya uko
muulize malema anaijua demokrasia ya south africa!
 
Back
Top Bottom