Tanzania demokrasia yetu hakuna wa kutulinganisha nae Afrika!

Nilitaka niquote chini alipoandika mada nikasikia uvundo mkali wa mavi ya chooni! kitu kama mzoga hivi! naahidi sitakaa nifungue tena hili bandiko! leo siwezi kula ya rabi!
 
Tofauti ya kukosoa na tusi mpaka sasa hivi nani amefungwa kwa kukosoa!
Huwa huoni Mh. Tundu Lissu anavyokamatwa na polisi kisa kamkosoa bosi wako? Lini aliwahi kutukana? Mnashindwa kumfunga kwa sababu tu anawagalagaza kwenye vifungu... Hadi mkaamua vinginevyo...
 
Huwa huoni Mh. Tundu Lissu anavyokamatwa na polisi kisa kamkosoa bosi wako? Lini aliwahi kutukana? Mnashindwa kumfunga kwa sababu tu anawagalagaza kwenye vifungu... Hadi mkaamua vinginevyo...
Ndio maana nimesema kuna demokrasia kama hakuna kitu kama hicho hata hiyo sheria unayomsifia nayo isingefaa kitu!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom