Jobongo
New Member
- May 19, 2017
- 4
- 219
Vita ya uchumi ni ngumu, imefikia hatua baadhi ya watanzania wenzetu waliotuzungusha mikono wakitaka tuwape nchi walete mabadiliko leo hii ndio wako kifua mbele kuhujumu nchi.
Mwenendo wa baadhi ya wabunge na gazeti la Tanzania daima ni wa kutiliwa shaka.
Tangu kuibuka kwa Vita kali ya dawa za kulevya habari zinazowekwa mbele na hili gazeti hazina utafiti wala tija yoyote kwa watanzania.
Kitendo cha leo kuibuka na front page kwua hatuibiwi kwenye mchanga wa madini inasikitisha sana
Gazeti hili ni dhahiri sasa linatumika na mafisadi kujisafisha .
Tafiti hupingwa kwa utafiti, huwezi ukawa umejifungia ndani tu alafu ukaping utafiti watu wenye akili timamu na wenye uchungu na nchi yao wakakuelewa.
Magazeti ya Tanzania daima ,Mawio na mwanahalisi itabidi wajitafakari kwa sasa wanamtetea nani kwenye maandiko yao???