Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Annuur kwenye front page ya gazeti lao waliandika KOMPYUTA ZA NECTA ZINAPIGA MUZIKI WA INJILI.......wao ndo waliona hiyo ndo habari ya kuuzia gazetiGAZETI lenyewe la kuamini ndio hilo AL NNUR...??? Ingekuwa GAZEeI la kuaminika kama MWANANCHI ningetafakari kuamini kweli labda alitukanawa!!