Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

Masikitiko yangu ni jinsi waTZ tunakoelekea, tangia jk aidhinishe udini kwenye kampein za uchaguzi yamebaki mapanga tuu

mengine sio ya JK. Tuwaangalie wamiliki wa magazeti haya. mengi tayari ametunikiwa PHD ya Biblia, Mbowe na yeye anajulikana chama alicho. tutegemee nini ndani ya Media room ya vyombo hivi
 
jamani nipo dar naombeni frequency za redio imaan na mie nipate kujisikilzia viroja na malalamishi yao, sijawahi kuisikliza.

RADIO IMANI frequency fm 104.4 hz , sikiliza usikie viroja, wao kila kitu kibaya kwao kinaletwa na kanisa/wakristo, watoto wao wakiendekeza mapenzi wakafeli shule ni wakristo/kanisa , mvua isiponyesha zanz ni kanisa, watoto wao wakivuta bange ni kanisa !!!!!
 
kwa hivyo Tzdaima na nipashe wanajibu mapigo?
 
tuwe wakweli na wapenzi wa taifa letu. tukikumbatian UDINI. heshima ya vyombo vya habari vitapoteza dira
 
kwa hivyo Tzdaima na nipashe wanajibu mapigo?

Umeambiwa TANZANIA DAIMA na NIPASHE ni vituo vya habari vya kikristo???!!! Funguka kichwa chako, TOA ujinga!!

Embu fungulia WAPO fm , Radio TUMAINI kama utasikia hata siku moja wanakashifu uislam au wanauzungumzia, wao wanazungumza habari za ukristo/gospel na imani ya ukristo. na vingine vimefika mbali zaidi kwa kutangaza habari motomoto kushinda hata vituo vya serikali au binafsi vya kawaida, na kupata wasikilizaji wengi hata wasio wakristo, lakini kamwe huwezi sikia wanauongelea uislam!!!

I like WAPO radio kipindi cha PATAPATA!
 
niliwasikia kwnye ile radio yao ya morogoro...jamaa hawajui uchambuzi kabisa, wamejazwa na hila na fikra za kibaguzi, yani wao moja kwa moja walienda kuwalaumu wamiliki wa magazeti(mengi and mbowe) na kusema hiyo habari imechapishwa kwa sababu wamiliki wao ni wakristo....yani hewa kabisa, inamaana kila kitu anchomiliki mengi anahusika nacho kuhariri kuchapisha kureport???? yani hope less kabisa hawa maustaz...ndio hao hao wanasema watoto wa kiislam wanafelishwa na baraza la mitihani kisa mkurugenzi wa baraza la mitihani ni mkristo(joyce ndelichako) yani hope less kabisa...mnajaza ***** kichwani af mnaongea kwenye public mnasahau maadili ya utangazaji...kama wale walikosea kuchapisha zile picha mlitakiwa kuanza kufikiria positvely kabla ya kurukia kwenye udini...shame on you radio iman

Hata kuomba haki kuna utaratibu pia, Redio IMAN na gazeti lao ni vichochezi wakubwa na hua wanaandika UONGO tu na kulalamika wanaonewa na Wakristu. Kuhusu elimu pia halalama akati watoto zao 95% hutumia muda kukariri Kurani matokeo yake darasani mbumbumbu kibao. Tafuteni mmekosea wapi sio kukurupuka na kuadi kisichokuepo. Halafu waislamu wengi walioenda shule hawana mambo haya, tatiozo wengi wao hawana shule na ndo maana ni rahisi kudanganywa......
 
Umeambiwa TANZANIA DAIMA na NIPASHE ni vituo vya habari vya kikristo???!!! Funguka kichwa chako, TOA ujinga!!

Embu fungulia WAPO fm , Radio TUMAINI kama utasikia hata siku moja wanakashifu uislam au wanauzungumzia, wao wanazungumza habari za ukristo/gospel na imani ya ukristo. na vingine vimefika mbali zaidi kwa kutangaza habari motomoto kushinda hata vituo vya serikali au binafsi vya kawaida, na kupata wasikilizaji wengi hata wasio wakristo, lakini kamwe huwezi sikia wanauongelea uislam!!!

I like WAPO radio kipindi cha PATAPATA!

wanakula nchi unadhani watalalamika?hakuna mwanafunzi wa kikirsto anaweza kukosewa matokeo yao na NECTA. karatasi zao zinarudiwa 3 times, unadhani watajua shida? si watapiga nyimbo tu kwenye vipindi vyao, sawa sawa na CCM na chadema, chadema inahaha kuingia ikulu huku CCM wakila kuku ikulu. Nipashe na TZDAIMA sio magazeti ya kikiristo. lkn Mengi tayari kapewa tuzo la biblia. mbowe anaongoza chama chadema, unadhani hayo magazeti yataelemea upande gani?
 
Umeambiwa TANZANIA DAIMA na NIPASHE ni vituo vya habari vya kikristo???!!! Funguka kichwa chako, TOA ujinga!!

Embu fungulia WAPO fm , Radio TUMAINI kama utasikia hata siku moja wanakashifu uislam au wanauzungumzia, wao wanazungumza habari za ukristo/gospel na imani ya ukristo. na vingine vimefika mbali zaidi kwa kutangaza habari motomoto kushinda hata vituo vya serikali au binafsi vya kawaida, na kupata wasikilizaji wengi hata wasio wakristo, lakini kamwe huwezi sikia wanauongelea uislam!!!

I like WAPO radio kipindi cha PATAPATA!

SIMPLE! Hawana kingine cha kuzungumza juu ya imani yao pia uelewa mdogo, elimu hakuna......
 
RADIO IMANI frequency fm 104.4 hz , sikiliza usikie viroja, wao kila kitu kibaya kwao kinaletwa na kanisa/wakristo, watoto wao wakiendekeza mapenzi wakafeli shule ni wakristo/kanisa , mvua isiponyesha zanz ni kanisa, watoto wao wakivuta bange ni kanisa !!!!!
imani FM chaguo la waskilizaji
 
haijawahi kutokea Tanzania hii Muislamu kushindwa Hoja mahakamani na popote pale Duniani. tusubiri matokeo yake kama sio yale ya Mengi kumlipa basalehe Million kumi (10,0000,000).

Na chadema wakitaka ushindi watatue kero za waislamu,mwaka 2015 wasije kushangaa kama walivyoshangaa mwaka 2010 kwa sababu ya udini wao.
 
Kukosea tumeumbiwa binadamu,tunapoteleza tuwe wepesi kuomba msamaha!Siungi mkono matusi ya huyo muhariri hata kidogo.Kabla ya kumlaumu naomba CV yake maana labda ni wa vyuo vyetu vile vya posta na Kariakoo.
 
mimi huwaga najiuliza hawa wana JF wanaoandika threads kama hizi.kama kweli wamekwenda shule, au wanaandika wakiwa wamelewa..nakaa nikijiuliza..sipati jibu..kama muislamu safi aliyekwenda shule anaandika mambo kama haya na kulalamika kuwa anaonewa..vipi yule ambae hajakwenda hata darasa moja?? nasikitika kusema kuwa tabia ya watu ni ngumu sana kubadilishwa kwa elimu pekee, ni asili tu na hulka..
 
UAMUSHO + AL-SHABAAB + BOKO HARAMU + AL-QAEDA = ANNUR.

Ritz + Njiwa + Tume ya Katiba + Zomba + Free World = Udini kwa manufaa fulani.
 
wanakula nchi unadhani watalalamika?hakuna mwanafunzi wa kikirsto anaweza kukosewa matokeo yao na necta. Karatasi zao zinarudiwa 3 times, unadhani watajua shida? Si watapiga nyimbo tu kwenye vipindi vyao, sawa sawa na ccm na chadema, chadema inahaha kuingia ikulu huku ccm wakila kuku ikulu. Nipashe na tzdaima sio magazeti ya kikiristo. Lkn mengi tayari kapewa tuzo la biblia. Mbowe anaongoza chama chadema, unadhani hayo magazeti yataelemea upande gani?
vague......
 
RADIO IMANI frequency fm 104.4 hz , sikiliza usikie viroja, wao kila kitu kibaya kwao kinaletwa na kanisa/wakristo, watoto wao wakiendekeza mapenzi wakafeli shule ni wakristo/kanisa , mvua isiponyesha zanz ni kanisa, watoto wao wakivuta bange ni kanisa !!!!!
Kwa kuongezea tu -
Wakigombana na wake zao ni kanisa,akiachwa na bus pale ubungo ni kanisa,wenyenyumba wakipandisha kodi za nyumba
ni kanisa,umeme ukikatika ni kanisa,maji ya kikatika ni kanisa. yaani full vituko
 
haijawahi kutokea Tanzania hii Muislamu kushindwa Hoja mahakamani na popote pale Duniani. tusubiri matokeo yake kama sio yale ya Mengi kumlipa basalehe Million kumi (10,0000,000).
.

hahaha, Kumbe shida ndio zinamsumbua ana ndoto ya kulipwa mamilioni.....???!! Nilifikiri kinachompeleka mahakamani ni kuthibithishia watu tu kwamba kweli ametukanwa na alipwe TSH MOJA kama vile MANJI.....
 
haijawahi kutokea Tanzania hii Muislamu kushindwa Hoja mahakamani na popote pale Duniani. tusubiri matokeo yake kama sio yale ya Mengi kumlipa basalehe Million kumi (10,0000,000).

Na chadema wakitaka ushindi watatue kero za waislamu,mwaka 2015 wasije kushangaa kama walivyoshangaa mwaka 2010 kwa sababu ya udini wao.
ccm wametatua kero ipi ya waislam? si nyinyi ndiyo mnailalamikia kwa kuwa na mfumo kristo ingawa mmeichagua wenyewe? 2015 itakula kwenu kwa sababu kwa mazingira tunayoishi hapa tz hakuna chama chochote makini kinachoweza kuwaahidi waislam kutatua malalamiko yao tunayoyasikia kila siku...mkiona mnaahidiwa kitu kama mahakama ya kadhi au oic mjue mmeshaingizwa choo cha kike kama ilivyotokea kwenye chaguzi zilizopita...poleni mtakuwa mnatumika daima siku zote mpaka mjikomboe kichwani...!
 
Back
Top Bottom