Tanzania daima ni gazeti la udaku au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania daima ni gazeti la udaku au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Freetown, Oct 26, 2008.

 1. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naomba kuelimishwa hivi hili gazeti ni la udaku au ni vipi???. inakuwaje maoni ya watu yanatoka kama yalivyo bila kuhaririwa.
  someni hapo chini sehemu ya maoni niliyoyaona kwenye Tanzania daima juu ya Tanzania kujiunga au kutojiunga na OIC. sasa ni wazi Watanzania tunaelekea kubaya kama hata vichaa tunaruhusu wawe waandishi wa habari


  na kero, bongo Tz, - 26.10.08 @ 03:33 | #51438

  WA.********* MAASKOFU TANAINGIA OIC MTAKE MSITAKE.

  na CHINGA - 26.10.08 @ 03:53 | #51453

  W.A.********* MAASKOFU

  na CHINGA - 26.10.08 @ 03:54 | #51454

  M.I.K.U.N.D.U YAO MAASKOFU, BASI JUMAPILI IWE SIKU YA KAZI.

  na CHINGA - 26.10.08 @ 03:55 | #51455

  M.A.G.O.V.I YAO MAASKOFU BASI TUTOKE VATICAN NA JUMIYA YA MADOLA KWANI KATIBA ZAKE ZA KIKRISTU.
  HAKUNA CHA MEMBE WALA EMBE DODO SISI LAZIMA TUWE OIC.M.B.O.L.O ZENU WAGARATIA.

  na CHINGA - 26.10.08 @ 03:57 | #51457
   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ni lazima mtanzania daima, wa -edit haya maoni kabla hawajatoa, nakumbuka nationmedia ya kenya kupitia daily nation walikuwa na section kama hii, bahati mbaya ikawa misused na wao siku hizi wana -edit kwanza

  lakini huku ni kuteleza tu, mtanzania daima linahusikaje na haya maoni?
   
 3. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe ndio mdaku maana unajua fika kuwa hayo ni maoni ya watu mbalimbali na sio ya Tanzania Daima. Nyie ndio mnaotumwa na mafisadi kujenga hoja zisizo na mishiko!Tanzania Daima ni gaazeti makini na lililomstari wa mbele kuandika habari za kuwafichua mafisadi na kuwapa tahadhani watetezi wa mafisadi kama wewe.
   
 4. M

  Masatu JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Freetown kwanini unashusha hadhi ya forum hii kwa kuokota matusi mitaani na kuyaweka hapa? Hapana huu nathubutu kuuita upumbavu na ujinga mkubwa.

  Unajua wazi kuwa hayo ni maoni ya wasomaji na hayawi edited na mhariri kitendo cha wewe kuyaweka hapa ni kuwadhalilisha hao waliotajwa na forum hii kwa ujumla wake.

  Pls mods ondoeni huu uchafu
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Huyo Chinga alishapigwa marufuku hapa JF. Naona kapata mahali pengine pa kutokea na mitusi yake.
   
 6. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tumsamehe freetown!
   
 7. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Huyo mtu yupo hapa infact hata kwenye hii thread yupo, watu wengine ni kuwasamehe tu! Lakini Mods waondoe huu uchafu!
   
 8. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu sishushi hadhi ya JF nimeona ni mahali pekee ambapo tunaweza kwa pamoja kukemea matusi. Mtanzania daima wangeweka utaratibu mtu akitoa maoni yachujwe kabla ya kuwafikia umma. sioni koso nililofanya labda umenielewa vibaya sijapendezewa kabisa na hayo maoni, nawashukuru waliosema nisamehewe kwa sababu wamelewa nia yangu.
   
 9. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huo ndo uhuru unaotumika vibaya-wewe huoni kama kuna haja ya hilo gazeti kuzuia maoni ya matusi kama walivyoandika kama yalivyo. mbona magazeti mengi tu yanaruhusu maoni ya wasomaji lakini yanachujwa kwanza-utakuwa unajitukana mwenyewe iwapo utasema hivyo kwa mtu ninayechukia ufisadi kuliko kitu kingine chochote hapa duniani
   
 10. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ASANTENI

  1. Mwikimbi
   Jasusi
   Msongoru
   Field Marshal ES
  Kwa upeo wenu wa kuelewa, Mungu awazidishie
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Freetown kwanini unashusha hadhi ya forum hii kwa kuokota matusi mitaani na kuyaweka hapa? Hapana huu nathubutu kuuita upumbavu na ujinga mkubwa.

  Unajua wazi kuwa hayo ni maoni ya wasomaji na hayawi edited na mhariri kitendo cha wewe kuyaweka hapa ni kuwadhalilisha hao waliotajwa na forum hii kwa ujumla wake.

  Pls mods ondoeni huu uchafu


  Huyo Chinga alishapigwa marufuku hapa JF. Naona kapata mahali pengine pa kutokea na mitusi yake
  __________________
  Mambo si mambo mkulima kala mbegu, habari ndio hiyo!  JAMANI JF NI SEHEMU YA KUFUNDISHANA NA SI KUTISHIANA HAYA MAONI KWELI YAPO NA HATA KAMA NI YA WATU BINAFSI HAMWONI HAYAKUSTAILI KUWEPO NA KAMA YAPO KWA NINI WASIWEKE HUKU KAMA YALIVYO WAJULISHWE UPUMBAVU WAO....HONGEARA KIJANA NJOO UFUMBUE WATYU FANI ZAO ,,,,NA WALA USIOGOPE HATA KAMA ULIKOSEA HUKO NYUMA BADO UNA NAFASI YA KUELIMISHA JAMII HAPA JF,,JF SI YA BABA WALA MAMA YETU YA KILA MMOJA

  UHURU MUHIMU ZAIDI
   
 12. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Hata kama ni uhuru wa watu kutoa maoni, hayo yaliyotolewa ni matusi na sii maoni! Huwa nashindwa kuamini kama mtu mzima na akili timamu anaweza kuandika matusi na kuita maoni! So kwa kuzingatia hayo matusi (maoni) Tanzania itajiunga na OIC msikonde!
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Oct 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Huyu chinga kila sehemu ni matusi matusi matusi matusi
   
 14. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2008
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,969
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Kwa mtaji wa kutetea matusi na kukubali matusi kuchapishwa katika gazeti lako eti kwa kisingizio cha uhuru wa habari huo ni wendawazimu.haiyumkini mtu na heshima zake ukaandika matusi kama haya.kwa huku kusoma pamoja na kuwa na taaluma fulani vilevile kunatoa malezi ya kiungwana kama hukufaidika na elimu basi unamatatizo
   
 15. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Kumpa nafasi ya kumjadili Chinga hapa ni "Kumtukuza" anapaswa kupuuzwa na kutojadiliwa,hiyo itamfanya kujiona Mjinga na kuacha huo Upuuzi wake!!
   
 16. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu chinga, inaonekana ni kati ya wale WaTanzania wasiokuwa na maadili.
  Ninamuomba Mungu wangu amsamehe maana akili yake ndivyo inavyomtuma.
   
Loading...