Tanzania Daima na baadhi ya mitandao imevamiwa na virus?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,891
6,902
Warning — visiting this web site may harm your computer!Suggestions:
Or you can continue to Tanzania Daima at your own risk. For detailed information about the problems we found, visit Google's Safe Browsing diagnostic page for this site.

For more information about how to protect yourself from harmful software online, you can visit StopBadware.org .

If you are the owner of this web site, you can request a review of your site using Google's Webmaster Tools. More information about the review process is available in Google's Webmaster Help Center.
Advisory provided by
malware_logo.gif  1. Tanzania Daima

    www.freemedia.co.tz/daima/
    This site may harm your computer.
    Dec 9, 2014 - ... anatarajia kugombea Ubunge jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro. Akizungumza na Tanzania Daima, rafiki yake wa karibu na Profesa Jay,…

    10859595_823143777750082_994823653_n.jpg
 
Kuna blog fulani ina jina kubwa hivi ilikumbwa na kitu kama hicho sitaki kuitaja hapa asije wmenyewe akatapika nyongo sasa hivi imekaa sawa inaingilika. Kwa wenye computer zisizo na kinga ya virus inashtukia computer imejaa minyoo tupu maana hakuna warning.
 
Kuwa na website ni jambo nzuri, ila je unaweza kuiendesha website hiyo? Maana siyo kuweka mihabari tu huku unasahau ishu ya usalama wa website yako.
 
Kuwa na website ni jambo nzuri, ila je unaweza kuiendesha website hiyo? Maana siyo kuweka mihabari tu huku unasahau ishu ya usalama wa website yako.
Natoka nnje ya mada - Mkuu hiyo Avatar yako imetulia sana:becky:
 
du...kwani nani anaziingilia hizi blogs!!kuna hata ya serikali iliingiliwa
 
Na mimi asubuhi iliniletea hii message, kwa nini Tanzania daima wasirudishe ule muundo/mwonekano wa zamani kwenye website?

mwanzoni mfumo/muundo wao ulikuwa mzuri sana,
 
Hili tatizo nimeliona wakati nikiperuzi habari mtandaoni nikadhani tatizo lipo kwangu tu.
 
Kwangu imefunguka vizuri.

Kama kwako imefunguka vizuri ujue huna kinga ya virus kwenye computer yako, hivyo upo kwenye risk virus kuambukizwa kwenye computer yako. Kama una kinga ya virus ujumbe kama huo utaupata kuwa na tahadhari.
 
Back
Top Bottom