Tanzania Daima la Leo

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Jamani mbona silioni Tanzania Daima la Leo kwenye mtandao? Kulikuwa na makala nyeti sana... tatizo la kiufundi au niaje maana nimesikia kuna baadhi ya watu wamepita mitaa mbalimbali Dar na kununua kwa mafungu.... what is going on?
 
hata kama wamenunua kwa mafungu ina maana wamefanya hivyo hata kwenye net?

hata mimi nimekuwa ninalitafuta kwenye web bila mafanikio.
 
Mkuu, makala gani hiyo unayozungumzia ambayo imezuiwa kwenye Net? Nipigie simu au niandikie email... (mwanahaki@jamboforums.com)
 
Mkuu, makala gani hiyo unayozungumzia ambayo imezuiwa kwenye Net? Nipigie simu au niandikie email... (mwanahaki@jamboforums.com)

Toleo la leo 23/04 liloko mtandaoni ni la jana 22/04...kama unalo pls tu postie basi
 
I miss Tanzania Daima, kunanini jamani? unajua gazeti hili ni kali sana siku za Jumatano na Jumapili huenda wameliwekea ngumu nini?
 
niliamua kuwasiliana na wenyewe, wamesema baada ya nusu saa litakuwa hewani, kuna problem kidogo ya kiufundi
 
asante mpita njia.. haya matatizo ya kiufundi ambayo huwa yanapenda kujitokeza Jumatano ni matatizo ambayo yangepaswa kutokea Jumamosi hivi...
 
Back
Top Bottom